Ajira za ualimu zimetoka?

kiboboso

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
9,182
12,295
Vipi wakuu?

Eti ajira za ualimu zimetoka? Na vipi kama hazija toka hivi mkulu ana malengo gani na vijana waliozagaa mitaani wakisubiria ajira tokea mwaka juzi? Au ndio mdogo mdogo ndio tunatengeneza genge la majambazi wasomi?
 
Ajira tutawalipa nini serikali bado inatathini kikichobaki kwenye makinikia tukishapata tathimin tutaajiri watu mmojammoja kwa kila mkoa.
 
Vipi wakuu?

Eti ajira za ualimu zimetoka? Na vipi kama hazija toka hivi mkulu ana malengo gani na vijana waliozagaa mitaani wakisubiria ajira tokea mwaka juzi? Au ndio mdogo mdogo ndio tunatengeneza genge la majambazi wasomi?
Ndiyo mwanzo wa kuestablish KIBITI EMPIRE.
Waache tu walewe madaraka. Wakishashituka dikiteta uchwara hoi.
Halafu yule dikiteta akisimama kweny majukwaa kazi nikuwashutumu tu wenzake wakati na yy hovyo tu. Bora muda ukimbie haraka aondoke tu. Tushamchoka na porojo zake
 
Utatekwa mkuu.
 
Kukosa ajira sio lazima uwe jambazi...Ayo ni mawazo ya kitoto ya kudhani ukisema ivyo utaitisha serekali bila ya kujua serekali yako ni kichwa chako mwenyewe...acha kulalamika mtoto wa kiume,,ukipunguza kuchat utapata mambo ya kufanya tofaut na kulialia ovyo...karibu jukwaa la biashara ujionee vijana wenzako wanavyofanikiwa bila kuidekea serekali.

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo mwanzo wa kuestablish KIBITI EMPIRE.
Waache tu walewe madaraka. Wakishashituka dikiteta uchwara hoi.
Halafu yule dikiteta akisimama kweny majukwaa kazi nikuwashutumu tu wenzake wakati na yy hovyo tu. Bora muda ukimbie haraka aondoke tu. Tushamchoka na porojo zake
Ukikua utaacha

Unaumwa.
Nani amekupa ruhusa ya kuniquote?
Unanijua mpaka uniquote? Ni mwanzo na mwisho kuniquote. Quote wengine ila siyo mm.
Unaquote quote watu ovyo tu. Unafikiri humu ni Facebook? Nakupa onyo.

Eres muy estúpido. Estoy advirtiéndole. No se atreven a citarme cada vez que veas mi comentario.
 
Ndiyo mwanzo wa kuestablish KIBITI EMPIRE.
Waache tu walewe madaraka. Wakishashituka dikiteta uchwara hoi.
Halafu yule dikiteta akisimama kweny majukwaa kazi nikuwashutumu tu wenzake wakati na yy hovyo tu. Bora muda ukimbie haraka aondoke tu. Tushamchoka na porojo zake
mkuu umetisha....kuwa makini wasijekukubeba uwasaidie kwenye upelelezi. inaelekea unajua chanzo cha alshabab wa kibiti
 
Back
Top Bottom