Ajira Utumishi - Recruitment portal

af jaman mbona baadhi ya vyuo havipo especially chuo mipango (IRDP DODOMA) na course zake....?!!
msaada tafadhar maana imekua shida kujisajil....

Hawa Jamaa kwa kiasi flani wamekurupuka. Ilibidi hata shule zote ziwepo sio mpaka uende kwenye other ili kuandika shule au chuo ambacho hakikuorodheshwa.
Wajifunze kwa recruitment portal ya TRA iko poa sana.
Mkuu hapo sehemu ya chuo weka other halafu utaletewa option ya kuspecfy jina la chuo upande wa kulia!!
 
Ishemo umenena kweli....kwenye hicho kipengele kweli Utumishi wamekurupuka.
 
Hawa Jamaa kwa kiasi flani wamekurupuka. Ilibidi hata shule zote ziwepo sio mpaka uende kwenye other ili kuandika shule au chuo ambacho hakikuorodheshwa.
Wajifunze kwa recruitment portal ya TRA iko poa sana.
Mkuu hapo sehemu ya chuo weka other halafu utaletewa option ya kuspecfy jina la chuo upande wa kulia!!

Lakini si bado wapo kwenye majaribio bado haijawa rasmi, hayo matatizo madogomadogo yatarekebishwa kulingana na malalamiko yenu wadau.
 
wakuu samahani naomba kuuliza kwenye kile kipengele cha profesional qualifications kama huna hizo CPA CIA ACA unajaza nini? au unaacha blank? na kwenye kuattach application letter inabidi ucheki kwanza tangazo uweke kutokana na tangazo au utaweka moja tu kama sample? bado naendelea kujaza vipengele wakuu...imefika 70% sasa..
 
na je? kwa asilimia hizo 70 ninaweza kutuma au hadi ifike 100%?

wakuu samahani naomba kuuliza kwenye kile kipengele cha profesional qualifications kama huna hizo CPA CIA ACA unajaza nini? au unaacha blank? na kwenye kuattach application letter inabidi ucheki kwanza tangazo uweke kutokana na tangazo au utaweka moja tu kama sample? bado naendelea kujaza vipengele wakuu...imefika 70% sasa..

Ikifika sabini unaweza kutuma ;napia hata ikifika 100 waweza kutuma ila pungufu ya ndio huwezi kutuma
 
thanks Mkuu...
ila bado sijapata majibu ya vipengele vingine hapo juu! Thank you once again...
 
thanks Mkuu...
ila bado sijapata majibu ya vipengele vingine hapo juu! Thank you once again...

Application letter kila unapo-apply for a job lazima u-attach. So you have to customize your letter for each job. Ukimaliza kutuma waweza idelete ya mwanzo thenwaa-attach mupya ya job mpya
 
  • Hakikisha umeja vzur sehemu zote muhimu, kwa maelezo zaid soma manual yao huku ukiwa unajaza.....!, hakikisha pia attachment zote muhimu umeupload...

    uwezi hamin mm pia, mara yakwanza nilipata shida nikarudia taratibu huku nikifuta mwongozo, ikaja kusoma 95%, na nimemaliza chuo mwaka jana, sijafanya kazi sehemu nying....

VP KWA KESI YA MAJINA INAKUAJE?INCCASE LABDA KWENYE VYETI UNATUMIA MAJINA MAWILI Eg HUMPHREY JACKSON....Ila pale kwenye Personal Details ukaeka First name Humphrey,Middle name Jackson na Surname ukaeka Msuya apo inakuaje au tunatakiwa kujaza majina tuliotumia kwenye vyeti pekee ake?Msaada kwenye tutaa wadau
 
Hujishangai kuna watu wanaanza na mshahara wa 1.2Million wewe na degree yako wanakulipa 630,000 Jiulize ukifikia 1.2M huyo mwenzio atakua wapi? Acha ujinga Ualimu ni taaluma ya kikuda!

Hajui kama atazeeka akiwa masikini.
 
Back
Top Bottom