af jaman mbona baadhi ya vyuo havipo especially chuo mipango (IRDP DODOMA) na course zake....?!!
msaada tafadhar maana imekua shida kujisajil....
Hawa Jamaa kwa kiasi flani wamekurupuka. Ilibidi hata shule zote ziwepo sio mpaka uende kwenye other ili kuandika shule au chuo ambacho hakikuorodheshwa.
Wajifunze kwa recruitment portal ya TRA iko poa sana.
Mkuu hapo sehemu ya chuo weka other halafu utaletewa option ya kuspecfy jina la chuo upande wa kulia!!