Bzimana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 554
- 162
Aisee swali langu halijibiwi.msaada ninavyeti 3 form4 je na attach vipi na vyote vina credit.
wee vipi..! mbona ulishajibiwa, umeambiwa vyote uvicombine into one pdf file..
Aisee swali langu halijibiwi.msaada ninavyeti 3 form4 je na attach vipi na vyote vina credit.
wee vipi..! mbona ulishajibiwa, umeambiwa vyote uvicombine into one pdf file..
Kama kuna attachment unaziweka basi lazima ziwe katika pdf vinginevyo zinakataaNavijaza mkuu lakini haibadiliki ...... Hata sijui tatizo nini khaaa
MUNDU MKONGWE.
tumia hii website kuko-combine online. Hamna haja ya kwenda kupoteza hela kuscan again
Merge PDF - Combine PDF files online for free
wee vipi..! mbona ulishajibiwa, umeambiwa vyote uvicombine into one pdf file..
Braza hii website tusaidie tena vizuri.
Hivi inawezekana kweli hii kitu.
Kama una files zaidi ya mbili na unataka kiziunganisha ziwe kwenye file moja. Hii website ndo moja ya huduma inayotoa. Huu mwaka wa 10 natumia hio website
vipi kama nataka kudelete akaunti/profile yangu nafanyaje?
Login out and then login jaribu tena.
Mbona wenzako wanaweza
70% Ximena
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja.
Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ???
Bila shaka jibu lako ni ndio. Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ??
Ingia kwenye akaunti yako, click My applications...Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari...Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview -HONGERA SANA
Mkuu,nliwahi kufanya application na nimelogin nkaona First Interview tar 25/04/2015 lakini sijaona popote panapoelekeza ni wapi huo usaili wa awali utafanyika.
Msaada tafadhari.,niko mkoani itabidi nifanye safari ijumaa.