kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
Kwahyo wote wanaoandikiwa 1st interview wataitwa? Mmh me mbna zote nlizoapply nmeandikiwa 1st interview na nyngne nliapply kujaribu tuu sina hata qualifications ila meandikiwa 1st interview...Is it kweli hilo neno linarefer kuitwa kwa interview?
Kuku wa kienyeji hapa lazima utakamatika..mtu hana cheti kama std 7 kaitwa kwenye usaili wa principal accountant??