blessed lenny
Member
- Feb 5, 2013
- 38
- 8
Hata me inanzngua, ndio kwanza iko 44%,alafu kitu kingine wakati naandika e-mail yangu kujiregister ikatokea pale yenyewe,asa najiuliza imekuaje inanifahamu?
:heh: hapana, hiyo ni capability ya browser yako maana umekuwa ukitumia hiyo email mara kwa mara, browser huwa zina uwezo wa kuwa na kumbukumbu(cache)