chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
- Thread starter
- #101
Piga simu upewe majibu
Mi tayari nishaandaa nauli to dom maana Maulid na Kaimu katibu mkuu Mrisho walisema wiki mbili mambo yatakuwa saf.
pouwa tutapanda tu ngoja tuchek mpk tar 24
0754 620 528 piga hiyo hapo
Na vp kuhusu wenye SAP waliopangiwa ajira af wakakataliwa kukupokelewa katka halmashauri?
ss una sap afu unaenda kurepot tena eti kwa sabab ulipangwa hapo lazima wasikupokee,hvyo ni kurudi tu zen kasapue tu
Sa kwanin waliwapangia?
kazi ipoHiyo wiki ya pili ni ipi labda, wiki ya pili ilianza tarehe 11 mpk 17 May? Leo tarehe 20 na hayapo kwenye website yao au walimu waende wakayaangalizie huko dodoma tamisemi au ni nini!
Siasa kila kona,.
walifanya makosa,hta mwaka jana ilitokea lkn hawakupkelewa walirudishwa kwa hyo ukiona hvyo haina haja kwenda kureport
mimi nina ushahidi wa watu ndo mana naongea hvyo siongei hvi ilimradi tu....nmeshuhudia washkaji wakirudi mwaka jana na wamesapua wanapigania kuajiliwa nwMwaka jana hawa kufanya ivo
Kesho mapema tu Tamisemi
Na vp kuhusu wenye SAP waliopangiwa ajira af wakakataliwa kukupokelewa katka halmashauri?