ikumbukwe niwiki mbili Sasha zimepita tangu mseme majina ya walimu yatatoka lakini kimya wala hakuna taarifa juu ya kuchelewa huku, sasa mpaka tuandamane kuja ofisini? taarifa nimuhimu sana kuliko kukaa kimya je, nilini tutapewa ajira zetu?
hivi ni waalimu tu ambao hawajaajiriwa au na facaulty naona vilio sana. waloajiriwa hawajalipwa unafikir wataajir tena?
Doh Lazma Kieleweke Tu. Wa2 Tumeenda Jkt Kuumia Alaf Ajira Wame2sahau?
Hakuna hawa lazima tuandamane na kujitoa sadaka mbona wanaelewa tu,kwani vyuo vikuu wamefanyaje na leo hela zao ziko tayari,lazima uvunjifu wa amani utokee ndio wataelewa si ndivyo walivyojizoesha mpaka tugombane.Kuajilowa waalimu ni haki yetu sio kama fakati zingine na ndio maana hata wao wanajishuku kwa kutusahau.Shule ni nyingi kuliko mahakama,hospitali vituo vya jeshi nk.Hivyo wataelewa tu subiri jpili ifike wawe hawajatoa post j tatu tamisem
i wataeleza nini tatizo pale Dodoma.
yaan kwel zisipotoka wiki hii nikuwaibukia huko
Hali halisi ni kwamba walimu tumejaa huku mashuleni hadi vijijin walimu hatuna vipindi sijui nyie mnataka kuja kufanya kazi gani huku. Labda mjikusanye muombe mikopo kuliko kuandamana
wee jamaa ni janga tena sio kidogo,unafikiri kwa kutumia makalioHali halisi ni kwamba walimu tumejaa huku mashuleni hadi vijijin walimu hatuna vipindi sijui nyie mnataka kuja kufanya kazi gani huku. Labda mjikusanye muombe mikopo kuliko kuandamana