Ajira ualimu awamu ya pili kutolewa tarehe 20

Washatuona kama watoto wadogo jaman tena nowdays hata watoto hawadanganyiki bora watuweke wazi...... mi tar 20___27 nikiona kimya nawafata
 
Kutokana na baadhi ya maelekezo ambayo yalitolewa na watu wenye MAMLAKA - OWM- TAMISEMI kuwa kwa baadhi ya walimu ambao majina yao hayakuonekana ktk awamu ya kwanza na wanavyo vigezo kamilifu vya kupata ajira zao lakini hawakupata basi majina yao yataoneka kwenye tovuti ya wizara hiyo nyeti baada ya wiki MBILI,, sasa swali langu ni kwamba wiki mbili tayari zimeshapita but hakuna tamko lolote lile ambalo nimeshatolewa dhidi ya wahanga hao! Je unadhani wahanga hao wako ktk hali gani?

nanukuu maneno ya mkurugenzi mkuu Tamisemi"Ndugu walimu tuaminini ili na sisi tujiaminishe kwenu kwani mie ninaeeongea hapa ni mamlaka "

Hayo ndio yalikua maneno yake mjini dodoma....mkuu mbona umeaminiwa lakini hutaki kujiaminisha kwa ndugu walimu?

Anyway Tumetoa trend up to 21 kama hakutakua na tamko basi itabidi rai waje hapo ofisi ndogo ya dar kuuliziaa muafaka wa walimu/ wahanga hao.

NB:vielelezo kuwa walisema watatoa wiki hii ninavyo vyakutosha yaani picha,video na audio.

Naomba kuwasilisha
 
Tayari kuna mkubwa ameshani PM tarehe ya post
 
Tangazo la Tamisemi hukuliona?
 
Mkuu vipi mbona watu washaanza kujua mpaka post zao japo kwa kuchungulia sana kwa mbaaaaaaali,we penya tu utaziona.
 
itakuwa njema zaid...miaka hii kudanganyana ni upuuzi!!!,japo awamu ya pili mwka jana ilitoka tar 23 na 30 june wakareport shule zilipofungua july labda na mwaka huu ndivyo hvyo?lkn km ipo ipo tu

Hapana lazima wawe wazi kama ingekuwa mwezi wa sita wangesema tu tuelewe ujue kudanganya watu wazima haifai tumeambiwa baada ya wiki mbili basi iwe hivyo,tatizo siasa inawafanya watu wasahau wajibu wao na kufanya kila jambo kisiasa.
 
Back
Top Bottom