WAZIRIL
Member
- May 22, 2015
- 22
- 7
Wahanga wa ajira ya ualimu mnaarifiwa kuwa siku ya Jtatu tarehe 25/5/2015 kutakuwa na maandamano Dodoma kwenye jengo la TAMISEMI ili kudai haki yetu ya ajira.Mjulishe na mwenzio ili kuimarisha umoja wetu.
hii nchi watu wanatutesa sana