Ajira ualimu awamu ya pili kutolewa tarehe 20

Ajira ualimu awamu ya pili kutolewa tarehe 20

Maulid alituahidi tar 15 mpk sasa kimya naona anataka kutuchezea akili.
 
Maulid alituahidi tar 15 mpk sasa kimya naona anataka kutuchezea akili.

Maulidi mpemba yule anaongeaaa kiwepesi sana ktk hoja nzito.
 
Attachments

  • 1432002468145.jpg
    1432002468145.jpg
    39.6 KB · Views: 201
Tayari baadhi ya walimu walioahidiwa kuajiriwa baada ya awamu ya pili wameshafika Tamisemi makao makuu kuuliziaa hatima yao.
Maana serikali iliwaahidi kutoa orodha majina yao baada ya wiki mbili
 
Maulid alituahidi tar 15 mpk sasa kimya naona anataka kutuchezea akili.

Halafu wasipotoa kesho tukienda Dom kwa mara nyingine ataongea kiarabu hata kama hakifahamu maana aliona sisi ni vichwa vya panzi.Sidhani kama nitakuwa na sura ya huruma siku hiyo maana nimechoka sasa.Nawaambukiza na nyie wenzangu ROHO ya ujasiri tudai haki yetu bila woga.
 
Tayari baadhi ya walimu walioahidiwa kuajiriwa baada ya awamu ya pili wameshafika Tamisemi makao makuu kuuliziaa hatima yao.
Maana serikali iliwaahidi kutoa orodha majina yao baada ya wiki mbili

ukipata kilichojiri tujulishe ili kama ni mizinguo tutokee tuwe wengi,wataelewa tu.
 
[13:44, 5/19/2015] Chichimizi: Taaarifa kutoka dodoma ni hiii hapa
[13:47, 5/19/2015] Chichimizi: Kwamujibu wa mkurugenzi mkuu tamisemi amewaasa walimu waliofika tamisemi leo asubuhi kuwa warudi nyumbani na mda si mrefu watayaona majina yao kwenye tovuti husika.

Pia mkurugenzi huyo ndugu MAULID amewaasa walimu hao kuwa na imani na serikali yao kwani kila kitu kitakua safi na walimu watafurahi tu.
[13:47, 5/19/2015] Chichimizi: Naomba kuwasilisha kama nilivyoipata kutoka dodoma kwa njia ya simu.
[13:48, 5/19/2015] Chichimizi: Hajataja siku lakini ni ndani ya mwezi huu
 
Kama kuna mtu mwenye ujasiri wa kuongea na mkurugenzi mkuu Tamisemi aje PM nimpe namba yake apige na atapata majawabu yote
 
Mi tayari nishaandaa nauli to dom maana Maulid na Kaimu katibu mkuu Mrisho walisema wiki mbili mambo yatakuwa saf.
 
Back
Top Bottom