Ajira na waganga wa kienyeji

Ajira na waganga wa kienyeji

Huwezi hata Sharti moja Mkuu sio Rahisi kabisa kuweza hayo masharti. Moja ya sharti ni kuwa kama una mtoto unaye mpenda umuuwe au kama una mama yako mzazi umuuwe ndio uwe tajiri utaweza?

Nisipomuua itakuwaje?
 
Wataniua lakini na mimi nitaugawa huo utajiri kwa maskini na taasisi za dini
sasa ukifa utagawa vipi tena wakati wewe umeshakufa? Watarithi ndugu zako huo utajiri lakini hauta dumu utakwenda zake kama ulivyokwenda wewe .......................Achana nazo fikira za utajiri wa majini huwezi masharti yake kamwe......................
 
Bora kuchacharika mwenyewe. There's no free lunch
 
Ongea na MziziMkavu akufundishe namna Shehna alivyomtafutia kazi bosi wake na sara!
Kwa hiyo huyo mganga alimsaidiaje yani kupata hiyo ajira? Sometimes napenda sana kufahamu hizo kitu zina work vipi. Alimkonnect na mteja wake ambaye ni bosi akampatia hiyo ajira? alimwajiri yeye kama yeye? How? Mtu yeyote anayefahamu haya mambo atupe madesa tufahamu juu ya hii sayansi asee.
 
Last edited by a moderator:
Uganga hauna matatizo kama hautatumika kuwadhuru watu wengine, ila pindi unapodhuru watu wengine uitwa uchawi, kuna uchawi na uganga mkali sana kule haiti na afrika magharibi unaitwa vodoo magic au juju inategemea tu unatengenezwa kwa manufaa ya kudhuru au kutibia.

Uchawi umekuwepo tangu miaka dahari na hata vitabu lukuki vya dini mbalimbali vimekiri uwepo wake. Tatizo limekuwa matumizi yake.
 
Kwa ufupi tu kwenda kwa mganga ili akuombee mambo yako yawe imo himo ndio inayotakiwa sio kitu kigeni katika maisha yetu ni sawasawa mtu kwenda kwenda kwa mchungaji aombee duwa ili mambo yake yawe. Ni kitu cha kawaida hakuna kitu cha kushangaa upo pamoja na mimi?
Mi ninayojua mganga huo yupo kinyume na imani za kidini. Sasa ukienda atakuombea kwa Mungu yupi na wakati yu tayari ashajitenga na imani ya mungu?
 
Na usingelikuwa na matatizo usingelikwenda kwake? Sasa ulitaka akale wapi? Kama unajuwa kweli hakuna zaidi ya JEHOVAH BABA kwanini wewe umekwenda kwa mganga? ungelimngojea huyo JEHOVAH BABA akusaidie basi.

Zamani za ujinga hizo Mkuu. Ila kwasasa Nawaona kama ma.vi kabisa. Vp mkuu na wewe ni WITCH DOCTOR au Sangoma kabisa?
 
Hujaumwa wewe ukiumwa utakwenda mwenyewe hapa una haki useme hivyo Waswahili wanasema Adhabu ya kaburi aijuaye ni maiti. Mpaka utakapopatwa na matatizo utakwenda wewe mwenyewe kwa mganga pasipo kujuwa mtu.

Mahospitali yote yaliyopo, niende kwa mpiga ramli? Anayekisia ugonhjwa? Better to die kama Mungu kashndwa kuniponya.
 
Zamani za ujinga hizo Mkuu. Ila kwasasa Nawaona kama ma.vi kabisa. Vp mkuu na wewe ni WITCH DOCTOR au Sangoma kabisa?
MziziMkavu ni witch dokta kwa maana hiyo ni sangoma vilevile. Ndio maana yuko bize kutetea uozo hapa, atawapata haohao mafool wa imani.
 
Last edited by a moderator:
Mahospitali yote yaliyopo, niende kwa mpiga ramli? Anayekisia ugonhjwa? Better to die kama Mungu kashndwa kuniponya.
Ngojea utembee na mke wa mtu kisha uende hospitali kupigwa sindano kama utapona jaribu kutembea na mke wa mtu hapo Mjini Dares-salaam kisha uende Hospitali ya Muhimbili ukatibiwe kama hatukupeleka makaburini ukaitwa jina la Marehemu. Usicheze na Waganga wa kienyeji wewe watakumaliza na Silaha zao za siri.

MziziMkavu ni witch dokta kwa maana hiyo ni sangoma vilevile. Ndio maana yuko bize kutetea uozo hapa, atawapata haohao mafool wa imani.
Mimi sitetei mambo ya Uganga wa kienyeji mimi ninachosema ni ukweli wewe ukibisha au ukikubali shauri yako sijakulazimisha maneno yangu uyakubali.
 
Zamani za ujinga hizo Mkuu. Ila kwasasa Nawaona kama ma.vi kabisa. Vp mkuu na wewe ni WITCH DOCTOR au Sangoma kabisa?
Mim sio Witch Doctor wala Sangoma mimi ni MziziMkavu Hauchimbwi dawa wapo humu Waganga wa Kienyeji wanakusikilizeeni kwa umakini kabisa. Watukaneni wao wapo tu wanakusikilizeeni tu .
 
Mi ninayojua mganga huo yupo kinyume na imani za kidini. Sasa ukienda atakuombea kwa Mungu yupi na wakati yu tayari ashajitenga na imani ya mungu?
Hebu nipe maelezo kwa kirefu kuhusu Mganga yupo vipi kinyume na imani na Dini? kwani wewe unavyo juwa ni nini maana ya neno Uganga? hebu nipe jibu nione upeo wa akili yako hapo?
 
Uganga hauna matatizo kama hautatumika kuwadhuru watu wengine, ila pindi unapodhuru watu wengine uitwa uchawi, kuna uchawi na uganga mkali sana kule haiti na afrika magharibi unaitwa vodoo magic au juju inategemea tu unatengenezwa kwa manufaa ya kudhuru au kutibia.

Uchawi umekuwepo tangu miaka dahari na hata vitabu lukuki vya dini mbalimbali vimekiri uwepo wake. Tatizo limekuwa matumizi yake.
Uganga kazi yake kubwa sio kuwadhuru watu hapo umekosea kama kitu hujuwi jaribu kuuliza

watu wanaojuwa. Uganga maana yake ni Utabibu uganga sio kudhuru watu . Kuna vitu 2 Viwili Uganga na uchawi sasa

wewe usichanganye neno Uganga na neno uchawi ni vitu viwili tofauti kabisa. Mganga ni yule mtu anaye watibu watu

hata Hospitalini kuna waganga hao mnaowaita Ma-Daktari sio ndio waganga wa Dawa za kizungu hao? Neno Doctor

kwa kiswahili ni Mganga sasa kuna Mganga wa dawa za kizungu yaani Daktari na kuna Mganga wa dawa za kienyeji.

Na kuna mchawi ni mtu ambaye anao wadhuru watu Mchawi ni yule anaye ruka usiku mchawi ni mtu mbaya Mganga hawezi

kuwa mtu mbaya tofautisha kati ya Wachawi na waganga mkuu.
 
Tatzo madesa ndo yanawafnya wawe jeuri, fahamu kuwa ile ni elimu kama ya phyzcs na history. wale tuliosoma sant kajumba tulikuaga katika mazinga ombwe umeona wapi ktk biology mtu anakula ndiz then anakunya ndiz na maganda yk? umeona wap ktk physics au chemistry mtu anapta juu ya makaa ya moto haungui? Nenda mikoa ya flan utaona vjimambo kama umezoea kurd usiku basi saa kumi na moja jiona utakimbilia kwenu. Ngedere umuone udsm ila uko sio ngedere. MUCE unalala ktk godoro linakukumbatia nyuton aliweza kutoa fact ya hiz mambo?
 
Huwezi hata Sharti moja Mkuu sio Rahisi kabisa kuweza hayo masharti. Moja ya sharti ni kuwa kama una mtoto unaye mpenda umuuwe au kama una mama yako mzazi umuuwe ndio uwe tajiri utaweza?

cc: Kiranga & Nguli
 
Back
Top Bottom