Ajira na waganga wa kienyeji

Ajira na waganga wa kienyeji

Nyinyi munaishi ulimwengu upi? Kuna uchawi, utibabu na mengineyo mengi siwewzi

kusema hapa ni siri za Waganga kwa hiyo mtu kwenda kwa mganga ili aombewe Dua mambo yake tawe mazuri kwa mfano apate cheo

kazini au ashinde uchaguzi au biashara yake ifunguke apate wateja au mambo yake yawe mazuri afunguliwe nyota za bahati yake hayo

mambo yote yapo katika ulimwengu huu hata wazungu wanaroga kama tunavyoroga sisi hakuna kitu cha ajabu mtu kwenda kwa

mganga afanyiwe dua apate kazi kawazi kwenu mnaoamini au msio amini mchanga wa pwani huo mimi simo.

mkuu mbona sikuelewi!

for sure sielewi kabisa!
 
mh inawezekana maana mbona wasanii pia wanaenda kwa waganga? maana AT alikiri kabisa kuwa alipeleka cd yake kwa mganga ili afanikiwe kupata tuzo za.kili awards so cha muhim ni watu waelewe ni kweli haya yanawezekana kweli? na inakua vip? mh God forbid!? Mzizi Mkavu baba sogea huku utoe elimu..

hao nao wengine wanatafuta kick tu watoke wasikike!

sasa kwa mtu kama diamond na anavyojituma hivi utaamini kwamba anaenda kwa waganga?

kuna wangapi ambao wanaenda kwa waganga lakni mpaka sasa hawatoki ama hawajatoka?
 
mkuu mbona sikuelewi!

for sure sielewi kabisa!
Kwa ufupi tu kwenda kwa mganga ili akuombee mambo yako yawe imo himo ndio inayotakiwa sio kitu kigeni katika maisha yetu ni sawasawa mtu kwenda kwenda kwa mchungaji aombee duwa ili mambo yake yawe. Ni kitu cha kawaida hakuna kitu cha kushangaa upo pamoja na mimi?
 
Hizo ni frustration tu za maisha na ni baada ya kuhangaika mda mrefu bila mafanikio. Siyo siri hata mimi kwa mganga niliwahi enda ila ndipo niligundua wapumbavu tu na hawana cha, badala kwamba angekuwa na uwezo wa kufanya nipate ajira ili baadaye ndiyo nije nimlipe fadhili, yeye akanicharge Tshs.10,000/= kama kiingilio then akaniambia nimpe laki 2 ndiyo mambo yaende vizuri. Hapo hapo nikamuona mpuuzi sana maana ningekuwa na laki 2 hiyo ningeenda kwake kufanya nini. Nikaondoka Muda ulipita Nikakomaa na nikapata kibarua sehemu na kidogo ndiyo inanifanya niishi mjini.

Ushauri: Hakuna mwenye kuweza zaidi ya JEHOVAH BABA, maana hata hiki kibarua mazingira niliyoweza kukipatia hakika ni mkono wa MUNGU tu. Hakuna tofauti kati ya Mganga wa kienyeji na Ibilisi shetani.
 
Na usingelikuwa na matatizo usingelikwenda kwake? Sasa ulitaka akale wapi? Kama unajuwa kweli hakuna zaidi ya JEHOVAH BABA kwanini wewe umekwenda kwa mganga? ungelimngojea huyo JEHOVAH BABA akusaidie basi.
 
Hahaha huelewi nini sass? Nenda ukasomewe huko upate ajira kwenye big results now tena kitengo cha barabara ama umeme. Ticha acha kuzubaa!
mkuu mbona sikuelewi!

for sure sielewi kabisa!
 
Kwa hiyo mganga Ni kama kiongozi gani wa dini? (manake unamfananisha na mchungaji?)
Kwa ufupi tu kwenda kwa mganga ili akuombee mambo yako yawe imo himo ndio inayotakiwa sio kitu kigeni katika maisha yetu ni sawasawa mtu kwenda kwenda kwa mchungaji aombee duwa ili mambo yake yawe. Ni kitu cha kawaida hakuna kitu cha kushangaa upo pamoja na mimi?
 
Hizo ni frustration tu za maisha na ni baada ya kuhangaika mda mrefu bila mafanikio. Siyo siri hata mimi kwa mganga niliwahi enda ila ndipo niligundua wapumbavu tu na hawana cha, badala kwamba angekuwa na uwezo wa kufanya nipate ajira ili baadaye ndiyo nije nimlipe fadhili, yeye akanicharge Tshs.10,000/= kama kiingilio then akaniambia nimpe laki 2 ndiyo mambo yaende vizuri. Hapo hapo nikamuona mpuuzi sana maana ningekuwa na laki 2 hiyo ningeenda kwake kufanya nini. Nikaondoka Muda ulipita Nikakomaa na nikapata kibarua sehemu na kidogo ndiyo inanifanya niishi mjini.

Ushauri: Hakuna mwenye kuweza zaidi ya JEHOVAH BABA, maana hata hiki kibarua mazingira niliyoweza kukipatia hakika ni mkono wa MUNGU tu. Hakuna tofauti kati ya Mganga wa kienyeji na Ibilisi shetani.
 
Kwa ufupi tu kwenda kwa mganga ili akuombee mambo yako yawe imo himo ndio inayotakiwa sio kitu kigeni katika maisha yetu ni sawasawa mtu kwenda kwenda kwa mchungaji aombee duwa ili mambo yake yawe. Ni kitu cha kawaida hakuna kitu cha kushangaa upo pamoja na mimi?

Kukuombea kwa shetani na mapepo na majini, nafikiri!

Hivi mbona wao hawajajiombea au kupandisha nyota zao wakatoka. Ni kama wezi tu
 
kama huna qualifications huna tu. sasa kazi inahitaji mtu civil eng, experience 3 years, wewe BA History umegraduate mwaka jana unadhani mganga gani atakusaidia hapo?

tuachane na matapeli hawa vijana, tukazane na kuapply tu, kikubwa tuwe smart wakati wa kufanya application na tukiitwa interview.

Mkuu hapa umeongea point aisee....DUh muache mambo ya kijinga na sayansi za upuuzi.Evil cannot defeatt evil only light can so wake up wanajamii
 
Jana wakati nipo kwenye daladala natoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine mmoja wa abiria aliyekuwepo ndani ya daladalaalikuwa akiongea na mtu ambaye baadaye tulikuja kufahamu kuwa ni kaka yake.

Katika maongezi yao, huyo abiria alikuwa akimuomba huyo kaka yake hela na kaka yake akamchomolea basi baada ya kukata simu yule jamaa akawa anaongea na rafiki yake pembeni kitu ambacho ndiyo kimenifanya nilite hii maada, ALISEMA ''Huyu bro we muache tu, alihangaika sana kutafuta ajira, ametafuta zaidi ya miaka mitatu mimi ndiyo NILIMPELEKA KWA MGANGA mpaka akapata hiyo kazi lakini hana hata shukrani hajawahi kunipa hata shilingi moja''

Baada ya hayo maneno ndiyo nikafunguka kuwa kumbe kuna watu wanakesha kwa waganga wakitafuta kuwezeshwa wapate ajira.

Vipi wewe mwenzangu na mimi? Baba yako si lolote wala chochote, kichwani hauna kitu, Mungu haumuabudu, kwa waganga hauendi,
NI LINI UTAPATA AJIRA?

Namaliza kwa kusema MUNGU WA WOTE.

Hahaha huelewi nini sass? Nenda ukasomewe huko upate ajira kwenye big results now tena kitengo cha barabara ama umeme. Ticha acha kuzubaa!

dah.. huyu mwanamke anavyonipenda!

haya mama.. ngoja nione kama ntaenda uhamiaji!
 
Kukuombea kwa shetani na mapepo na majini, nafikiri!

Hivi mbona wao hawajajiombea au kupandisha nyota zao wakatoka. Ni kama wezi tu
Sio Waganga wote wanaomba kwa mshetani acha fikra zako mbovu hizo shetani ni kiumbe kama wewe hana uwezo kuliko Mungu . Mganga

anaye kuombea kwa shetani huyo sio mganga atakuwa ni mganga feki Shetani ni kiumbe kama wewe kuna mambo

mengine hawezi kufanya na kuna mambo mengine anaweza kufanya. Acheni imani potofu hiyo kuwa kila mganga anaomba

shetani. Wewe Tangu lini umemuona fundi cherahani akavaa vizuri? tangu lini kinyozi akajinyowa yeye mwenyewe?

hujawa na matatizo wewe usiombe upatwe na matatizo utawatafuta wewe mwenyewe waganga wa kienyeji wakutibu.
 
hii ina apply sana kuanzia kuitwa kwenye interview,,nina rafiki angu ana advance diploma ya business administration nilikuwa nashangaaa kila interview anaitwa na anapata kazi na anachagua sehemu ya kufanyia kazi,,siku moja nilimsimulia mkasa niliopata kazini mpaka nikapelekewa kukatwa mshahara,,akaniuliza unataka kupata kazi nyingine?nikamwambia ndiyo lakini kazi zimekuwa ngumu sana siku hizi,,akacheka kwa dharau na kuniambia una amini mambo ya kusafisha nyota nikamwambia hapana,,ndo akanipa mchongo,,
 
Sio Waganga wote wanaomba kwa mshetani acha fikra zako mbovu hizo shetani ni kiumbe kama wewe hana uwezo kuliko Mungu . Mganga

anaye kuombea kwa shetani huyo sio mganga atakuwa ni mganga feki Shetani ni kiumbe kama wewe kuna mambo

mengine hawezi kufanya na kuna mambo mengine anaweza kufanya. Acheni imani potofu hiyo kuwa kila mganga anaomba

shetani. Wewe Tangu lini umemuona fundi cherahani akavaa vizuri? tangu lini kinyozi akajinyowa yeye mwenyewe?

hujawa na matatizo wewe usiombe upatwe na matatizo utawatafuta wewe mwenyewe waganga wa kienyeji wakutibu.

Hata nipatwe tatizo gani, over my dead body siwezi kwenda kwa mganga wa kienyeji, Mungu wa mbinguni anatosha. Yaani akuombee ashindwe kujiombea yeye? Wacha niwe na mawazo potofu kama unavyosema. Wawapte hao hao wajinga, washirikina na wachawi. Uganga utabaki kuwa ni washetani tu wala si kwa Mungu labda mungu.
 
Hujaumwa wewe ukiumwa utakwenda mwenyewe hapa una haki useme hivyo Waswahili wanasema Adhabu ya kaburi aijuaye ni maiti. Mpaka utakapopatwa na matatizo utakwenda wewe mwenyewe kwa mganga pasipo kujuwa mtu.
 
Back
Top Bottom