Ajira na waganga wa kienyeji

Ajira na waganga wa kienyeji

Namwamini Mungu na daiama ntamwamini yeye coz najua Ka so Leo basi kesho atanipa
 
hii ina apply sana kuanzia kuitwa kwenye interview,,nina rafiki angu ana advance diploma ya business administration nilikuwa nashangaaa kila interview anaitwa na anapata kazi na anachagua sehemu ya kufanyia kazi,,siku moja nilimsimulia mkasa niliopata kazini mpaka nikapelekewa kukatwa mshahara,,akaniuliza unataka kupata kazi nyingine?nikamwambia ndiyo lakini kazi zimekuwa ngumu sana siku hizi,,akacheka kwa dharau na kuniambia una amini mambo ya kusafisha nyota nikamwambia hapana,,ndo akanipa mchongo,,
Mkuu binafsi kazi ishakuwa tizi na kadgree kangu mwaka wa 6 sasa
 
Back
Top Bottom