Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

Acha Negative mentality hizi ndo zinawarudisha nyuma mwaka 2015 nilipataga ajira Taasisi kubwa na inayoheshimika kwa kupuuza mineno kama hii oooh kuna ndugu zao ooh mpaka kimemo sasa na mimi nimeshakua mwandamizi imebaki story we omba kapambane
Mwambie dogo aelewe
 
Hivi namba ya utambuzi inayitambuliwa na TCU ni ipi, maana ya kwenye cheti inagoma msaada.
 
Hivi namba ya utambuzi wa cheti cha digrii inapatikanaje?
 
Bila connection hutoboi, .
Kwa Uhamiaji hapo bila connection hawatoboi, sema ukipata nafasi baada ya muda unakuwa mtu mwingine kabisa, ukiwa kwenye nafasi nzuri na mjanja.

Kuna jamaa yangu mmoja yupo hapo na ni senior analamba tu buyu la asali.
 
Back
Top Bottom