A
Anonymous
Guest
Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa TAMISEMI Sumbawanga Municipal Council.
Nimepata ajira yangu huku lakini ninayoyasikia na kuyaona yanaumiza sana.
Kinachumiza zaidi ni kwamba HR wa Manispaa ni mkali kama pilipili alituambia siku tunafika kwamba, ole wetu tuanze kulalamika kuhusu hela ya kujikimu tutamjua.
Hata kwenye group huko WhatsApp watu baadhi walipojaribu kugusia suala la PESA ZA KUJIKIMU, huyo HR aligeuka kuwa mbogo.