Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,377
- 2,673
Tumetofautiana sana,wakati mimi namalizia chuo nilitaka kujiajiri(though sikuwa na mtaji tangible)lakini wazazi walinigomea sana nikaona isiwe tabu nikaingia ajirani kwa shingo upside, kwasababu nature ya kazi yangu inanipa nafasi ya kufanya mawili matatu nje ya ajira ninaendelea though akili yangu haijafunga ndoa ya kudumu na kazi hii ipo siku chini ya miaka kumi nitachomoka,siwezi kusema kila mtu atajiajiri lakini kama una wazo anza kidogo kwa shida hivyo hivyo hautajutia maamuzi yako,pia serikali ina wajibu wa kutoa ajira na kutengeneza mazingira ya ajira zisizo rasmi