Kodi siyo tatizo na ipo kwa mujibu wa sheria. Hata wafanyakazi wanalipa kodi. Labda kama kodi hiyo unaonewa.Tatizo kodi ukijiajir
Mkuu sio mbali usijali.Wadau naomba kuhoji..hivi june 30 ni mbali?
Kama huna 500 uza hyo cm au pc unayotumia kuingia humu jf then anzisha kijibiashara kitakuinuaWadau naomba kuhoji..hivi june 30 ni mbali?
Selikali ilisema itatoa ajira mpya 9932 kwa ajili ya kufidia watumishi hewa walio ondolewa kabla ya june 30.
Na ifikapo mwez wa saba watatoa ajira zingine elf 50 na kitu.
Sasa mpaka leo mimi naona kimyaaaa na wala hakuuna tetesi.
Hivi tulisoma ili tupoteze muda au vp.
Najua wengi mtasema jiajiri.
Swali ni je mtaji naupataje ikiwa kupata 500 tu ktk awami hii ya tano ni mziki.
Nikalime ? Pembejeo serikali haitoe,,,masoko hovyooo.
Swali kwa wizara...sjira zipo hazipo.
Nawasilisha
Subiri 2019Mamaa yanguuu aibuu
Wadau naomba kuhoji..hivi june 30 ni mbali?
Selikali ilisema itatoa ajira mpya 9932 kwa ajili ya kufidia watumishi hewa walio ondolewa kabla ya june 30.
Na ifikapo mwez wa saba watatoa ajira zingine elf 50 na kitu.
Sasa mpaka leo mimi naona kimyaaaa na wala hakuuna tetesi.
Hivi tulisoma ili tupoteze muda au vp.
Najua wengi mtasema jiajiri.
Swali ni je mtaji naupataje ikiwa kupata 500 tu ktk awami hii ya tano ni mziki.
Nikalime ? Pembejeo serikali haitoe,,,masoko hovyooo.
Swali kwa wizara...sjira zipo hazipo.
Nawasilisha
msomi mzima unashindwa hata kupata 500 ?? kwa siku hata kuajiriwa ufai huna ubunifu utatia hasara tu serikali
Unaona mbali aseeeKuna baadhi ya watu niliwaambia kuwa msitegemee ajira hivi karibuni wakanibishia.
Mkuu uhakika wa ajira tegemea 2019 karibu na uchaguzi mtaajiriwa wengi sana ili kusaidia uchaguzi ila ukipata uombe sana Mungu ziwe za permanent kwasababu hii serikali unaweza ajiriwa leo baada ya mwaka ikasema haikutambui.
hizi ajira 9932, ni zile ambazo zilikuwa pendingi, kwa maana walipata barua kutoka secretariate ya ajira, lakini hawakuwa na check #, wala applicant #, hivyo, kuna tamko limetoka utumishi, kuwa waajiliwe na ajira zao zinaanza rasm tarhe 1 june 2017, kimsingi mtoa maada na mimi nimiongon mwa waajiriwa wapya ambao imenichukua takribani mwaka mmoja mpka kunufaika na maelekezo hayo ya june mosWadau naomba kuhoji..hivi june 30 ni mbali?