Kabilimya
Member
- May 25, 2017
- 73
- 24
Wadau naomba kuhoji..hivi june 30 ni mbali?
Selikali ilisema itatoa ajira mpya 9932 kwa ajili ya kufidia watumishi hewa walio ondolewa kabla ya june 30.
Na ifikapo mwez wa saba watatoa ajira zingine elf 50 na kitu.
Sasa mpaka leo mimi naona kimyaaaa na wala hakuuna tetesi.
Hivi tulisoma ili tupoteze muda au vp.
Najua wengi mtasema jiajiri.
Swali ni je mtaji naupataje ikiwa kupata 500 tu ktk awami hii ya tano ni mziki.
Nikalime ? Pembejeo serikali haitoe,,,masoko hovyooo.
Swali kwa wizara...sjira zipo hazipo.
Nawasilisha