Ajira hakuna umri unaenda

Ngunya1

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
406
642
jamani nimekaa natafakari hapa mpka kichwa kinauma ajira hakuna umri ndo unaenda serikali bado haija maliza uhakiki,?? jamani awamu ya 5 hebu tuoneeni huruma vijana basi maisha magumu mtoe hata za police tu au nursing na walimu tutaenda wapi ? viwandani wa Hindi hawatoi mikataba ni mateso tu
 
He, na kulima hata mchicha ukauza umeshindwa......osha hata magali usichague kazi kwa kigezo eti unamsubiri magu, hutakufa na njaaa
 
Pole. Mwenzio nimeanzisha kiwanda changu cha kubet. Hivi karibuni ntamwita mheshimiwa aje akizindue... :rolleyes:
 
Pole sana.vumilia.
Kuna wakati niliyumba mpaka nikatamani kuhama nchi.muombe mungu kwa imani yako atakuonyesha njia
Avumilie mpaka lini na je serikali itaweza kuajiri watu wote wanaohitaji ajira? Hebu acha unafiki mwambie ukweli kwamba si serikali wala mashirika yana uwezo wa kuajiri watu wote.
 
Pole mkuu mim vyeti vyangu hata sijui vilipo...

STILL MESSI IS BETTER THAN CR7
 
jamani nimekaa natafakari hapa mpka kichwa kinauma ajira hakuna umri ndo unaenda serikali bado haija maliza uhakiki,?? jamani awamu ya 5 hebu tuoneeni huruma vijana basi maisha magumu mtoe hata za police tu au nursing na walimu tutaenda wapi ? viwandani wa Hindi hawatoi mikataba ni mateso tu
tuzid kuvumilia mm nimemaliza chuo na 21 leo nina miaka 23 2018
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom