Ajira EAC Secretariat

Aisee EAC Secretariat japo Ipo Arusha (TZ) lakini Watanzania tumeishia kubakia nafasi za chini (udereva, wafagizi, receptionist). Sasa Wabunge toka Uganda nao wamestukia chezo la wakenya kujazana humo.
Wabunge toka TZ wametulia Kama hakuna kinachoendelea, huku wakilamba posho zao bila bugudha

View attachment 1984690
KATIBA mpyaa ..tuondowe mazuzu huko....mmoleyahombokela😀😀😀😀
 
Unaelewa lugha lakini? Kwani hapo shida ni kwa TZ vs Kenya au TZ and Kenya vs Uganda, Burundi and South Sudan? Rwanda yupo neutral. Hujasoma mwandishi kasema while the big economies Kenya and Tanzania are on the other side? Hujaona watanzania wangapi wameitwa kwenye interview vs Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na South Sudan?

Watu wengi kila wakati mwataka kuisema vibaya nchi yenu, ndio maana hatuendelei hivihivi.
Shida wawakilishi kwenye hilo bunge....
 
Siwaamini wawakilishi kabisa. Ila jamaa aache story zisizo na ukweli. Anatufanya tuonekane malofa katika kila kitu.
Mkuu wanatakiwa wapikwe msasa ikibidi madodoki niko KASUMBALESA Mtanzania nakula matunda ya Sadec ikibidi mpaka Lake Chad wasamehe...
 
Back
Top Bottom