Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,408
Tatizo nadhani ni lugha pia... Wakenya wamewekeza katika kuhakikisha wanakiongea vyema kiingereza, Uganda sidhani, Tanzania ndio kabisa,Aisee EAC Secretariat japo Ipo Arusha (TZ) lakini Watanzania tumeishia kubakia nafasi za chini (udereva, wafagizi, receptionist). Sasa Wabunge toka Uganda nao wamestukia chezo la wakenya kujazana humo.
Wabunge toka TZ wametulia Kama hakuna kinachoendelea, huku wakilamba posho zao bila bugudha
View attachment 1984690
Naona bado hujaelewa mkuu, kinacholalamikiwa.Aisee EAC Secretariat japo Ipo Arusha (TZ) lakini Watanzania tumeishia kubakia nafasi za chini (udereva, wafagizi, receptionist). Sasa Wabunge toka Uganda nao wamestukia chezo la wakenya kujazana humo.
Wabunge toka TZ wametulia Kama hakuna kinachoendelea, huku wakilamba posho zao bila bugudha
View attachment 1984690
Chunga Sana "O" position yakoNaona bado hujaelewa mkuu, kinacholalamikiwa.
Hili ndilo tatizo letu waTanzania. Hatuna uelewa wa mambo. Sidhani kuwa ni tatizo la lugha inayotumika. Ni tatizo la kukosa uelewa kiujumla.
Tatizo linalolalamikiwa hapo linatokana na uhusika wetu, halafu mleta mada analigeuza kivyake!

Hao Waganda wanampinga Mtanzania ambaye aliwashinda kwenye kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya Katibu wa Bunge la EACAisee EAC Secretariat japo Ipo Arusha (TZ) lakini Watanzania tumeishia kubakia nafasi za chini (udereva, wafagizi, receptionist). Sasa Wabunge toka Uganda nao wamestukia chezo la wakenya kujazana humo.
Wabunge toka TZ wametulia Kama hakuna kinachoendelea, huku wakilamba posho zao bila bugudha
View attachment 1984690
Mtanzania anaitwa Nani? Lete jina tu, comments tuachie sisiHao Waganda wanampinga Mtanzania ambaye aliwashinda kwenye kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya Katibu wa Bunge la EAC
ni kweli kabisa ni kama huku mtaani, lakini kwa huku mtaani hayo yameanza kurudi siku hizi tu, marehemu alishawapiga pini za sehemu nyeti wakakimbia wote...Ajira EAC ni reflection ya ajira huku mitaani.Huku site waKenya wanalavamia ajira sector binafsi hadi unashangaa.
Unaelewa lugha lakini? Kwani hapo shida ni kwa TZ vs Kenya au TZ and Kenya vs Uganda, Burundi and South Sudan? Rwanda yupo neutral. Hujasoma mwandishi kasema while the big economies Kenya and Tanzania are on the other side? Hujaona watanzania wangapi wameitwa kwenye interview vs Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na South Sudan?Aisee EAC Secretariat japo Ipo Arusha (TZ) lakini Watanzania tumeishia kubakia nafasi za chini (udereva, wafagizi, receptionist). Sasa Wabunge toka Uganda nao wamestukia chezo la wakenya kujazana humo.
Wabunge toka TZ wametulia Kama hakuna kinachoendelea, huku wakilamba posho zao bila bugudha
View attachment 1984690
Bibie umepanikiUnaelewa lugha lakini? Kwani hapo shida ni kwa TZ vs Kenya au TZ and Kenya vs Uganda, Burundi and South Sudan? Rwanda yupo neutral. Hujasoma mwandishi kasema while the big economies Kenya and Tanzania are on the other side? Hujaona watanzania wangapi wameitwa kwenye interview vs Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na South Sudan?
Watu wengi kila wakati mwataka kuisema vibaya nchi yenu, ndio maana hatuendelei hivihivi.