Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Mfumo upo OK sasa
IMG_20220421_140020.jpg
 
ss unahakiki vya nn wakat kwenye mfumo wanataka upload vyet og......reference ya mwaka jana hakukua na kuhakiki veti....usipotezee watu elaa na mda mana hata kwenye tangazo hakuna huo utopoloo

Unawezaje ku-upload vyeti OG? Kuna ujinga mwingine unachekesha sana.
 
Kwenye Tangazo la wizara ya afya

Tangazo lilifanyiwa marekebisho, la kwanza lilisema ukiomba kupitia wizara usiombe tamisemi….. lakini waliondoa hiyo statement.

Mwanzo pia walisema ukipangiwa kituo hutarusiwa kuhama kwa miaka mitatu, hii miaka pia waliondoa.

Hivyo basi unaweza kuomba kote kote tu watajua wenyewe.
 
Naona system haufungui labda tuipe hata siku mbili watu wapunguze wenge kwanza
 
Wakuu habari,
vipi kwa sisi ambao tulishakuwa na account za mwaka Jana, tunatumia zile zile au tunafungua account mpya?
 
Back
Top Bottom