Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Aendee Dom tuu kabla ya deadline, jamaa anaongea utadhani amemuajiri huyo mtu wa mamlaka humu JF

Niliwapigia simu wakaniambia unaweka OG hayo ya ku-certify hawana haja nayo
Same as me, na leo tetesi za GPA wamekataa pia, kuwa hamna kitu kama hicho kwenye tangazo.

Kwenye zile ajira za TRA nilimuombea mtu.
The worst thing hakuitwa kwenye interview na sababu walisema ni "HAKU ATTACH CERTIFIED COPY"

sisi tuli scan original certificates then tukatuma kwenye portal.
Kumbe ilibidi Tuscan na ku certify.

Then TAKE CARE AND ALL RESPONSIBILITIES AND OUTCOME OF YOUR DECISIONS.

#YNWA
 
Kwenye zile ajira za TRA nilimuombea mtu.
The worst thing hakuitwa kwenye interview na sababu walisema ni "HAKU ATTACH CERTIFIED COPY"

sisi tuli scan original certificates then tukatuma kwenye portal.
Kumbe ilibidi Tuscan na ku certify.

Then TAKE CARE AND ALL RESPONSIBILITIES AND OUTCOME OF YOUR DECISIONS.

#YNWA
Ajira portal n lazima u-certify huku tamisemi niliwapigia cm wakasema hawahitaji hayo
 
Asubuhi njema.

#YNWA
Nchi ngumu sana hii mzee wangu 😁😁
Muache ajifanye jeuri kuna watu wanaomba tokea 2016 lkn hawapati coz hawakufanya certication ya vyeti
Hakuna aliyejifanya jeuri, mambo ni kuelekezana tuu, SIMPLE.
Ikibidi wahi Tamisemi katumie mrungula, utakuja nishukuru,
😁😁 Mkono mtupu haulambwi, n mtu namfanyia application, nitajitahidi kufanya inavotakiwa kwa upande wangu.
 
KWA YEYOTE ANAEMBIWA
1.ACCOUNT ALREADY EXIST
2. UNAUTHORISED USER
3. BAD CREDENTIAL
4. NIDA NUMBER ALREADY EXIST
5. WANAOHITAJI KUMALIZA APPLICATION
6. WANAOTAKA KUFUNGUA ACCOUNT.
7. ALIYESAHAU PASSWORD ACCOUNT.
KARIBU TUMALIZE MUDA BADO UNGALI UPO.

UMBALI SI TATIZO

NITAFUTE 0621060153
whatsap 0753070139

KARIBU SANA.

GHARAMA NI NDOGO.
 
KWA YEYOTE ANAEMBIWA
1.ACCOUNT ALREADY EXIST
2. UNAUTHORISED USER
3. BAD CREDENTIAL
4. NIDA NUMBER ALREADY EXIST
5. WANAOHITAJI KUMALIZA APPLICATION
6. WANAOTAKA KUFUNGUA ACCOUNT.
7. ALIYESAHAU PASSWORD ACCOUNT.
KARIBU TUMALIZE MUDA BADO UNGALI UPO.

UMBALI SI TATIZO

NITAFUTE 0621060153
whatsap 0753070139

KARIBU SANA.

GHARAMA NI NDOGO.
Tapeli hili, kamata mwiziii
 
Jamn mm ndo naanza kila nkijisajir kwenye password inaleta hii nifanyaje kwenye password
Screenshot_20220502-081907.jpg
 
Back
Top Bottom