Ajinyonga kwa kuchoshwa na vipigo vya mkewe

atamtelekezaje? si ajabu baba wa watu alikuwa kula kulala! huyo mama akienda kuuza wanzuki si angeenda nae warudi wote wamelala? useless man, to be a victim is a choice!

Dawa ya mwanamke mkorofi kama huyo ni kumtelekeza tu. Unatafuta kimwana mwingine then nduki.

Suicide ni alama ya cowardness mara nyingi...

Kwangu mimi 'death' is my worst fear...so if I can face 'death' (by suicide), then I wont fear anything, and so..I wont fear to face any problem/challenge that comes in front of me!

Ulikua na sababu gani ya kua mkabila kwenye hili?!Wanaume kibao wananyanyaswa na wake zao japo sio Wakurya!!

wanaume mjiunge na kile chama cha kutetea haki za wanaume wanopigwa na wake zao sasa! Khaaaa!!

mi jirani yangu babaENOKI
Anachezea makofi kila siku
Na anacheo kikubwa tu ofisini kwake.
Mke wake sio mkurya na anamtandika kweli.jaman wanaume kupigwa na wake zao sio ndumba.tunahitajiti mjadala wa kitaifa kuhusiana na dhahama hii.

mi jirani yangu babaENOKI

Anachezea makofi kila siku

Na anacheo kikubwa tu ofisini kwake.

Mke wake sio mkurya na anamtandika kweli.jaman wanaume kupigwa na wake zao sio ndumba.tunahitajiti mjadala wa kitaifa kuhusiana na dhahama hii.

yani dume likubali kupigwa na mkewe! Aiseee.

Kabila hilo kwa kupenda ugomvi (kipigana) ni balaa, juzi juzi tu kuna mtu katandikwa na shemeji yake wa kuume, tena kajamaa kenyewe ka-dent kana kula kulala kwa kaka yake. Mwenye mke alipopata taarifa hizi akabaki anakenua meno tu, kwenda kwenye kikao cha usuruishi, kaka mkubwa wa hao jamaa akaleta adithi kwamba kwao shemeji kumpa kichapo shemejiye inarusiwa na imebarikiwa.

mi jirani yangu babaENOKI

Anachezea makofi kila siku

Na anacheo kikubwa tu ofisini kwake.

Mke wake sio mkurya na anamtandika kweli.jaman wanaume kupigwa na wake zao sio ndumba.tunahitajiti mjadala wa kitaifa kuhusiana na dhahama hii.

Iwee..... Wagambaki?

Waacheni watani zangu. Mimi nina wifi mke wa kakangu ni mkurya na ni the best. Haya mambo ya kujiua hayana cha kabila so is mambo ya ugomvi ndani ya ndoa. Usitumie incidence moja ku generalize. Rudia research yako upya. Waacheni wakurya wa watu.

i dont know what to say !...

Poor old Samson Kitoshi RIP!

Jamani waheshimiwa wengi humu mmeshakuwa wakabila wa kupitiliza... Imebidi nirudie kusoma hii story mara kadhaa na bado nimeshindwa kuona 'ukurya' wa huyu marehemu!! Siyo kwamba mkurya hawezi kujinyonga... La hasha. lakini kinachowafanya wengi humu warukie kuwa huyu ni mkurya ni nini?! Mugumu ni makao makuu ya wilaya, inakuwaje mkazi yeyote huko adhaniwe kuwa ni mkurya?? Hilo jina 'kitoshi' ni la wapi hilo? Kwa kiasi nachojua kuhusu majina na matamshi ya watu wa huko, nashindwa kukubali kuwa hili ni jina la kabila hilo... Labda watu wa huko watusaidie.

mapenzi SIO KITU CHA MCHEZO, WAWEZA KUFA AU UKAPAGAWA NA MAWAZO ila mi kujiua sbb ya mapenzi SI-WE_ZI

Back
Top Bottom