Ajinyonga baada ya kutuma msg kwa mpenzi wake kimakosa

Ajinyonga baada ya kutuma msg kwa mpenzi wake kimakosa

Umeitoa Wapi Hyo Under 18 Ni illegal Kwa Sheria za UK.
soma hii
chini!..
Applications for a provisional driving licence can be made in the UK from the age of 15 years and 9 months. Once a United Kingdom driving test has been passed, the driving licence is valid for driving a moped or light quad bike from age 16, and a car from age 17, or 16 for those who receive, or have applied for, the higher or enhanced rate of the mobility component of
PIP or DLA.
Haya ukimaliza hiyo juu halafu soma na hii.
At age 16, a licence may be issued if the licensee is in receipt of the higher rate of disability living allowance. However, if the rate is withdrawn, the normal minimum age for driving a car (17 years) applies.
 
Angesema alituma huo ujumbe kumpima mwenzie ata 'react' vipi hapo ingekuwa 'case closed' lkn kama hakuweka mbwembwe nyingi kwenye ujumbe huo labda na kutaja na eneo na jina la alie 'do'nae

Mapenzi yana visa vingi na kama alikuwa deep sana kwa jamaa yake kwanini ali 'cheat' kufanya tu na mtu mwingine inaonyesha hakuwa committed ki hivyo kwa nini mpaka ajiue? Ni swali ambayo halita kuwa na jibu tena
 
Hahaaa. Aisee atakuwa na sababu nyingine nje ya hilo aisee. Sababu unaweza sema ni woga ila huo wake sio woga sababu angekuwa mwoga angeogopa huko kulala na huyo mwanaume mwingine na sio kutuma msg.

Ila pia hajataka kujiongeza. Si angesubiri tu kwanza aone moshi utafukaje sasa kuanza kujinyonga tena lol.


Umri pia nao ni unaweza kuwa sababu.
Maybe alijua ataachwa mchana
Kweupeeee
 
Hapo ndo unajua mapenz yana nguvu kuliko chochote ukiachilia
mbali umri
 
Hahaaa. Aisee atakuwa na sababu nyingine nje ya hilo aisee. Sababu unaweza sema ni woga ila huo wake sio woga sababu angekuwa mwoga angeogopa huko kulala na huyo mwanaume mwingine na sio kutuma msg.

Ila pia hajataka kujiongeza. Si angesubiri tu kwanza aone moshi utafukaje sasa kuanza kujinyonga tena lol.


Umri pia nao ni unaweza kuwa sababu.
Labda boyfriend wake mkali.Wale wanaotishia kuua.So labda akaona bora tu ajiue.
 
Chezeya kupenda Emmy. Ukipendwa pendeka.



Hahaaaa. Kaka unaogopa kuyafanya ya watu wa Iringa.

Moyo wako ukipenda unapenda wote yaani haubakishi hata nafasi ya maumivu. Lol.
 
Under 18 wanashauriwa kukaa mbali na mapenzi. Kama huyo jamaa ni above 18 kesi inamhusu. Atakula mvua chache kama tu atakua hakujibu neno la kukwaza kwa ujumbe wa Binti.
16 unaolewa with parents consent, kama ni age mates kesi itaangaliwa tofauti na kama mwanaume angekuwa over 25
 
Hahaaa. Aisee atakuwa na sababu nyingine nje ya hilo aisee. Sababu unaweza sema ni woga ila huo wake sio woga sababu angekuwa mwoga angeogopa huko kulala na huyo mwanaume mwingine na sio kutuma msg.

Ila pia hajataka kujiongeza. Si angesubiri tu kwanza aone moshi utafukaje sasa kuanza kujinyonga tena lol.


Umri pia nao ni unaweza kuwa sababu.
Ningekuwa me ningesubiri kuachwa tu na si kujinyonga see. Maisha mafupi lakini matamuje[emoji119]
 
Ningekuwa me ningesubiri kuachwa tu na si kujinyonga see. Maisha mafupi lakini matamuje[emoji119]
Umeonaeee. Sasa kuanza kujihukumu hata sio aisee.

Sababu huwezi jua hata huenda angemsamehe pia [emoji85]. Yote yanawezekana.
 
Back
Top Bottom