Ajinyonga baada ya kutuma msg kwa mpenzi wake kimakosa

Ajinyonga baada ya kutuma msg kwa mpenzi wake kimakosa

Hahahahahahahaha LoL! Kweli Mrembo Emmy ya kuumwa kichwa na kunywa dawa ni bora mara millioni. Hii ya kujinyonga hapana aisee!
Life is just so PRECIOUS.

[emoji182][emoji182][emoji182][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]


Kweli kabisa ujue BAK ila sio ya kumfikia huyo mtoto. [emoji8] [emoji8] [emoji182] [emoji7]

Kuanza kujinyonga tena lol.
 
Hahahahahahahaha LoL! Kweli Mrembo Emmy ya kuumwa kichwa na kunywa dawa ni bora mara millioni. Hii ya kujinyonga hapana aisee!
Life is just so PRECIOUS.

[emoji182][emoji182][emoji182][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]
Umeonaeee! Tena yana thamani kubwa aiseee na wala sio kidogo.

Ila hiyo ya kuumwa kichwa mmh. Nimecheka sana ujue. Nayo ni bora sana sana sababu mwisho wa siku lazima Kheri ipatikane.

Haya bana uwe na siku njema BAK. [emoji8] [emoji8]

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Shukrani sana nawe pia [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]

Umeonaeee! Tena yana thamani kubwa aiseee na wala sio kidogo.

Ila hiyo ya kuumwa kichwa mmh. Nimecheka sana ujue. Nayo ni bora sana sana sababu mwisho wa siku lazima Kheri ipatikane.

Haya bana uwe na siku njema BAK. [emoji8] [emoji8]

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Under 18 wanashauriwa kukaa mbali na mapenzi. Kama huyo jamaa ni above 18 kesi inamhusu. Atakula mvua chache kama tu atakua hakujibu neno la kukwaza kwa ujumbe wa Binti.
Kuna ni under 15 ndio unapata kesi, above 15 ni MTU mzima
 
hapo ndo ninapobishana kuwa wazungu hawajatuzidi akili ila ujanja tu... huyo katumia akili ya unyayo sijui.....
 
kijana miaka 15 anaweza endesha gari UK, miaka 16 utu uzima kabisa!!...Jamaa hana kesi ya kujibu!
Watu wanawaz,a kibongo bongo tu, 17 huko kwao o sio mtoto
 
Back
Top Bottom