Ajinyonga baada ya kutuma msg kwa mpenzi wake kimakosa

Ndo alivyotaka kujieleza kwa mshkaji,jamaa akamwambia sijiskii KUONGEA kwa sasa.
Hapo maana yake amezidi kumpagawisha binti,na bint alimpenda sana jamaa
Haya bana kupenda kumemfanya yeye katangulia huku aliyempenda anaendelea kudunda na sio ajabu kesho na kesho kutwa akawa na kimwana mwingine. Hahaaaa.
 
Hilo la kimwana mwingine halikwepeki,ila mapenz yanamaliza watu .
 
Kweli kabisa Mkuu. Yaani acha tu.
Mola atuepushe na mapenz ya UPOFU.
Yameondoa watu wengi sana.
Juzi kuna mwanafunz wa SUA ameua bint na kujiua,kisa JIMAMA.
Mapenzi hayo
 
Kweli kabisa mola atuepaushie maamuzi magumu kiasi hicho.

Hahaaa. Yaani mapenzi kitu kingine aiseee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli kabisa mola atuepaushie maamuzi magumu kiasi hicho.

Hahaaa. Yaani mapenzi kitu kingine aiseee.
Ni kitu cha kijinga sana.
Jamaa aligundua mkewe anachepuka,akachukua sim ya mkewe na kuanza kuchat na mchepuko wa mkewe kwa sms.
Wakapanga na miadi wakakutana,dogo mchepuko wa mkewe.
Huyu mwenye mke alikuwa na rafiki yake.
Basi wakamvaa dogo alikuwa na BODABODA,wakampora simu dogo alipopata upenyo si akakimbia?
Kaacha simu na bodaboda.Akaenda kijiweni kwao akasema ameporwa bodaboda, vijana wakajikusanya wakaenda walikoenda wakamkuta rafiki wa mwenye mke,wakampiiiga na kumfunga kamba na kuanza kumburuza kwa pikipiki hadi kafa.
Sasa kwenye msiba kilichotokea MKE analia tu,maana kifo cha shemeji yake chanzo ni yeye.
MapenZ HAYO
 
Kanuni moja ya sms za mapenzi ni kwamba
Lazimia siku moja itakosea njia iende kwa mpenzi wako au mtu ambae mmezoe sana ku chart nae
Ni swala la Muda tu
 
Hahaaa. Sasa hapo huyo jamaa ndio hamnazo hivyo hakuona njia nyingine zaidi ya hiyo aliyokuwa anaifanya?
 
Msichana wa miaka 17 Charlotte Guy ambae ni Mwanachuo Uingereza amekutwa amejinyonga baada ya kumtumia Mpenzi wake meseji kwa bahati mbaya.

Inadaiwa Charlote alitaka aitume msg hiyo kwa rafiki yake kumwambia kuwa amelala na Mwanaume mwingine usiku wa jana.

[HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]

Wazungu nao wanacheat kumbe
 
Kanuni moja ya sms za mapenzi ni kwamba
Lazimia siku moja itakosea njia iende kwa mpenzi wako au mtu ambae mmezoe sana ku chart nae
Ni swala la Muda tu
Au USAHAU KUIFUTA.
Kama ni kwenye katochi inabak kwenye outbox au sent
 
Back
Top Bottom