Ajinyonga baada ya kutuma msg kwa mpenzi wake kimakosa

Ajinyonga baada ya kutuma msg kwa mpenzi wake kimakosa

Hahaaa. Aisee atakuwa na sababu nyingine nje ya hilo aisee. Sababu unaweza sema ni woga ila huo wake sio woga sababu angekuwa mwoga angeogopa huko kulala na huyo mwanaume mwingine na sio kutuma msg.

Ila pia hajataka kujiongeza. Si angesubiri tu kwanza aone moshi utafukaje sasa kuanza kujinyonga tena lol.


Umri pia nao ni unaweza kuwa sababu.

Inasemekana walikuwa na mapenzi yasiyoeleweka yaani zile mkitakana mnachapana

Mwanaume ndo alikuwa hawleweki ila huyu demu alikuwa anampenda sana huyo mvulana

Hiyo txt alikuwa anamtumia rafiki yake kwamba jana nimembwato na jamaa mwingine si ndo akatuma kwa yule kila kitu

Alivyojaribu kuomba msamaha hamaa akamwambia sijisikii kuongea right now

Baada ya muda demu ndo akamtext kumuaga jamaa ndo kushtuka kumpogia simu hapokei

Ikabidi atoe taarifa polisi, polisi kufika alipokuwa ndo hivyo tena akakutwa keshafanya vitu vya wahehe

Baba ake anadai huenda alituma kwa makusudi bila kujua matokeo yake

Source;The sun
 
na aliyelala nae pia ana msala vile vile maana kalala na under 18 ila sijui sheria za uingereza zikoje
 
Msichana wa miaka 17 Charlotte Guy ambae ni Mwanachuo Uingereza amekutwa amejinyonga baada ya kumtumia Mpenzi wake meseji kwa bahati mbaya.

Inadaiwa Charlote alitaka aitume msg hiyo kwa rafiki yake kumwambia kuwa amelala na Mwanaume mwingine usiku wa jana.


[HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
Then What hapened
 
Inasemekana walikuwa na mapenzi yasiyoeleweka yaani zile mkitakana mnachapana

Mwanaume ndo alikuwa hawleweki ila huyu demu alikuwa anampenda sana huyo mvulana

Hiyo txt alikuwa anamtumia rafiki yake kwamba jana nimembwato na jamaa mwingine si ndo akatuma kwa yule kila kitu

Alivyojaribu kuomba msamaha hamaa akamwambia sijisikii kuongea right now

Baada ya muda demu ndo akamtext kumuaga jamaa ndo kushtuka kumpogia simu hapokei

Ikabidi atoe taarifa polisi, polisi kufika alipokuwa ndo hivyo tena akakutwa keshafanya vitu vya wahehe

Baba ake anadai huenda alituma kwa makusudi bila kujua matokeo yake

Source;The sun
Teen's suicide after accidentally Snapchatting boyfriend that she cheated
 
Back
Top Bottom