Ajinyonga baada ya kutuma msg kwa mpenzi wake kimakosa

Ajinyonga baada ya kutuma msg kwa mpenzi wake kimakosa

Ingekua li shithole angepasua simu au atoe lain,
 
Inasemekana walikuwa na mapenzi yasiyoeleweka yaani zile mkitakana mnachapana

Mwanaume ndo alikuwa hawleweki ila huyu demu alikuwa anampenda sana huyo mvulana

Hiyo txt alikuwa anamtumia rafiki yake kwamba jana nimembwato na jamaa mwingine si ndo akatuma kwa yule kila kitu

Alivyojaribu kuomba msamaha hamaa akamwambia sijisikii kuongea right now

Baada ya muda demu ndo akamtext kumuaga jamaa ndo kushtuka kumpogia simu hapokei

Ikabidi atoe taarifa polisi, polisi kufika alipokuwa ndo hivyo tena akakutwa keshafanya vitu vya wahehe

Baba ake anadai huenda alituma kwa makusudi bila kujua matokeo yake

Source;The sun

Duuh. Itakuwa baada ya kuambiwa na huyo mwanaume kwamba hajisikii kuongea ndio kakaona maamuzi sahihi ni kujinyonga. Lol

Ila ndio hivyo Kaka sikuzote kupenda ni kitu kingine.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya ndio madhara yakudate na vitoto, vinipitie mbali tu ingawa vitamu
 
Duuh. Itakuwa baada ya kuambiwa na huyo mwanaume kwamba hajisikii kuongea ndio kakaona maamuzi sahihi ni kujinyonga. Lol

Ila ndio hivyo Kaka sikuzote kupenda ni kitu kingine.

Ndo maana mm natakaga nipakue nisepe
 
Uzuz wa hali ya juu kwan ameondoka nayo s ameniachia jamani!
 
Ila haya ni mapepo mambo ya kujinyonga huwa yana kaushirikina ndani yake
 
Hawa wenzetu muda mwingine wanakuwa wanamaanisha akisema anakupenda, so sio mbaya kuregret.

R.I.P cute
 
Naam nakuomba ushauri humu nifanyeje Wakuu maana huyu demu tunapendana sana.😱😱😱😱

kibongobongo:
mwanamke angesema akafie mbali ujumbe kashapata!
mwanaume angekuja lalamika JF mpenz wake kachapwa jana!.
 
Walete app ya kufuta sms mapema pale unapokosea isifike upande wa pili
Ilishanitokea hii nikatuma sms kwa wife badala yachepuko
 
Hahaaa. Aisee atakuwa na sababu nyingine nje ya hilo aisee. Sababu unaweza sema ni woga ila huo wake sio woga sababu angekuwa mwoga angeogopa huko kulala na huyo mwanaume mwingine na sio kutuma msg.

Ila pia hajataka kujiongeza. Si angesubiri tu kwanza aone moshi utafukaje sasa kuanza kujinyonga tena lol.


Umri pia nao ni unaweza kuwa sababu.
Tunakuzwa kwenye tamaduni tofauti ndugu.
Huyo amegundua amemuumiza mtu kwa kuchepuka
 
Tunakuzwa kwenye tamaduni tofauti ndugu.
Huyo amegundua amemuumiza mtu kwa kuchepuka
Mmh. Bado haiingii akilini kama amegundua amemuumiza kwa kuchepuka sasa kwa nini alifanya hivyo?

Si angebakia kwenye kufuata tamaduni yao ilivyomkuza.
 
Mmh. Bado haiingii akilini kama amegundua amemuumiza kwa kuchepuka sasa kwa nini alifanya hivyo?

Si angebakia kwenye kufuata tamaduni yao ilivyomkuza.
Ndo alivyotaka kujieleza kwa mshkaji,jamaa akamwambia sijiskii KUONGEA kwa sasa.
Hapo maana yake amezidi kumpagawisha binti,na bint alimpenda sana jamaa
 
Back
Top Bottom