Ajibu anaenda kupotea

Hii habari haina impact yoyote kwa Simba,nyinyi endeleeni na mipasho Simba inakusanya mataji.
Hayo mi hayanihusu mnakusanya mataji gani wkt mipango yenu ni kukusanya kuanzia mapnduzi nk lakn mpk sasa moja mmeshapoteza bado FA nayo kigoma hamtoki

Endeleen kutelembwende tu
Screenshot_20210718-145221.jpg
 
mikia kwa kuua vipaji hawajambo..
Vipi mwenyekiti wenu kutopata medali?
Ute mna tabu
 
Hayo mi hayanihusu mnakusanya mataji gani wkt mipango yenu ni kukusanya kuanzia mapnduzi nk lakn mpk sasa moja mmeshapoteza bado FA nayo kigoma hamtoki

Endeleen kutelembwende tu View attachment 1859041
Sasa kombe la mapinduzi linaipeleka timu kwenye michuano ipi ya kamataifa?
Sisi tunabeba mataji yenye tija kwa timu,tushaanza na VPL kisha tunamalizia Kigoma kwa mzee Kaduguda,Kigoma sio darby ya ligi ni darby ya final hapo ndo mtajua kama Simba ni Simba na Swala ni Swala lazima mliwe.
 
Back
Top Bottom