Kuwa kiongozi wa michezo ukakwepa siasa huo ni undezi, Kitenge Mwijaku na Zembwela wanauzika vibanda vya kahawa

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Iko wazi,

Kutaka kuwatenga wanamichezo na mijadara mizito inayoendelea nchini huo nao nao ni ujinga mkubwa.

Mimi siamini ya kuwa Mo Dewji baada ya kujiuzulu ubunge hajiisishi na siasa za nchini kama ni kweli basi ajue anakosea sana maana Maisha yetu mengi yanatawaliwa na siasa Kwa Sana kuliko michezo hivi vitu havitokaa vilingane kamwe.

Hivyo hivyo viongozi wa Yanga walitakiwa kusoma halama za nyakati kitendo cha kuwaalika wale watangazaji kwenye siku ya Yanga day walikosea big time!

Yaani ni kutaka kuwaamisha Wana yanga ya kuwa Maulid Kitenge na Zembwela sio makuadi wa bandari ili jambo liliathiri morali kubwa ya Wana yangu wanaojitambua sana ya kuwa siasa na michezo hivi vitu vinatenganishwa

Mwanayanga aliye makini anajua kipindi tulichomo dhidi ya rasirimali bandari na mchango wa Kitenge na Zembwela

Nawapongeza Simba walilijua hilo wakakwepa zigo yaani yule kijana mwenye masters walimtupilia mbali akabakia kuwa mkata mauno wa Alli Kiba yaani Mwijaku alijua atapata platform Simba day mwishowe aliishia kuwa stage show wa Kiba!

Swali fikirishi elimu ya masters Tanzania haina thamani kiasi hiki au ni matumizi mabaya ya elimu au laana za wazazi?ni ni nini hiki?

Makampuni mnaofanya matangazo na wanahabari hao angalieni na kusikiliza public opinion msikurupuke hawa jamaa wanauzika vibanda vya kahawa.
 
hOJA ZA KITOTO KABISA

Hoja ya kuwanyanyapaa akina Kitenge kwa sababu tu wapo upande wa pili katika mjadala wa uendelezaji bandari ni kufilika mawazo au uzezeta wa kujitakia.

Linapokuja suala la mjadala kila mtu ana uhuru na haki ya kutoa mawazo yake. Kuyakubali ama kuyakataa ni hiari ya mtu binafs, ila ni ujinga na uzuzu kudhani kuwa msimamo wa mtu au kikundi fulani cha watu katika majadala, ndio kuliko mawazo kinzani. Lazima mawazo ya watu wote yaheshimiwe na yapingwe kwa hoja hata kama yanakinzana na matakwa na itikadi na matakwa ya watu wengine. Kwa sababu hiyo Yanga hawakukosea wala kuyumba kwa kuwateua akina Kitenge kusherehesha kilele cha Siku ya Wananchi!
 
Iko wazi,

Kutaka kuwatenga wanamichezo na mijadara mizito inayoendelea nchini huo nao nao ni ujinga mkubwa.

Mimi siamini ya kuwa Mo Dewji baada ya kujiuzulu ubunge hajiisishi na siasa za nchini kama ni kweli basi ajue anakosea sana maana Maisha yetu mengi yanatawaliwa na siasa Kwa Sana kuliko michezo hivi vitu havitokaa vilingane kamwe.

Hivyo hivyo viongozi wa Yanga walitakiwa kusoma halama za nyakati kitendo cha kuwaalika wale watangazaji kwenye siku ya Yanga day walikosea big time!

Yaani ni kutaka kuwaamisha Wana yanga ya kuwa Maulid Kitenge na Zembwela sio makuadi wa bandari ili jambo liliathiri morali kubwa ya Wana yangu wanaojitambua sana ya kuwa siasa na michezo hivi vitu vinatenganishwa

Mwanayanga aliye makini anajua kipindi tulichomo dhidi ya rasirimali bandari na mchango wa Kitenge na Zembwela

Nawapongeza Simba walilijua hilo wakakwepa zigo yaani yule kijana mwenye masters walimtupilia mbali akabakia kuwa mkata mauno wa Alli Kiba yaani Mwijaku alijua atapata platform Simba day mwishowe aliishia kuwa stage show wa Kiba!

Swali fikirishi elimu ya masters Tanzania haina thamani kiasi hiki au ni matumizi mabaya ya elimu au laana za wazazi?ni ni nini hiki?

Makampuni mnaofanya matangazo na wanahabari hao angalieni na kusikiliza public opinion msikurupuke hawa jamaa wanauzika vibanda vya kahawa.
Unajaribu kuwapangia watu maisha yao?
 
Back
Top Bottom