Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,431
- 191,688
Overtake za kibwege pia zimehusikaKwa lori kuharibika kiasi hiki kuna hatari Raum ilikuwa kwenye 140km/h +
Atasingiziwa sana Mungu ila mwendo kasi uliopitiliza unauwa.
Overtake za kibwege pia zimehusikaKwa lori kuharibika kiasi hiki kuna hatari Raum ilikuwa kwenye 140km/h +
Atasingiziwa sana Mungu ila mwendo kasi uliopitiliza unauwa.
Itakuwa wahamiaji wa Mbeya miaka huko. Ila majina ya. Mboya ni koo za kibosho huko uchaganiYeah wanyiha wa mbozi ,Huyu Thom namfaham,isabella pia namfaham na huyo mtoto aliyeko hosp ni mtoto wa Thom
Sasa hii ajali imekaaje kwamba gari ilimshinda dereva ama ilikuwaje?Aisee hata hawakuwa wamefika mbali ktk safari yao.Nilikiwa huko mwezi wa 6 kuwasalimu wazazi wangu,aisee gari zinakimbia sn zikiiacha Uyole kuitafuta Igulusi,Chimala mpaka Makambako. Jamani endesheni polepole magari.
RIP
Wamelifumua LoriAjali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni
Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla
Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.
Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
I know this family we lived neighbors for years
View attachment 1947533View attachment 1947534View attachment 1947535View attachment 1947537
Ajali nyingi zinazotokea baada ya watu kutoka misibani mara nyingi husababishwa na unga wa ndele , misibani kuna watu hupenda kufanya Yao ndio maana wengi huwa hatuagi, hatupeani mikono na pia Kama ni familia tunapoondoka tutasafiri kwa mafungu au kila mtu apande gari tofauti.RIP wapendwaAjali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni
Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla
Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.
Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
I know this family we lived neighbors for years
View attachment 1947533View attachment 1947534View attachment 1947535View attachment 1947537
Lori kulifumua hivyo labda kama walikuta limeanguka katikati ya barabara.Wamelifumua Lori
Hata iende speed ya ndege haiwezi kubomoa cabin ya scania kiasi hicho.
Ajali nyingi zinazotokea baada ya watu kutoka misibani mara nyingi husababishwa na unga wa ndele , misibani kuna watu hupenda kufanya Yao ndio maana wengi huwa hatuagi, hatupeani mikono na pia Kama ni familia tunapoondoka tutasafiri kwa mafungu au kila mtu apande gari tofauti.RIP wapendwa
Nami bado najiuliza hilo lori lilivyochakazwa na raum! Raum ilipaa?Kwa lori kuharibika kiasi hiki kuna hatari Raum ilikuwa kwenye 140km/h +
Atasingiziwa sana Mungu ila mwendo kasi uliopitiliza unauwa.
This makes more sense!Possibility ni kuwa lori lilipata ajali kwanza hiyo gari ndogo imekuja kugonga lori lililopata ajali barabarani.
Semi ipepigwa na Raum mpaka kuchakaa kiasi hicho!!!Ajali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni
Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla
Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.
Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
I know this family we lived neighbors for years
View attachment 1947533View attachment 1947534View attachment 1947535View attachment 1947537
Nop wambeyaWakibosho hao
Nami bado najiuliza hilo lori lilivyochakazwa na raum! Raum ilipaa?
Namba DKW possibly alikuwa anaonyesha kuwa gari inadaiKwa lori kuharibika kiasi hiki kuna hatari Raum ilikuwa kwenye 140km/h +
Atasingiziwa sana Mungu ila mwendo kasi uliopitiliza unauwa.
Hayo maeneo yana lami moja mbovu kuliko barabara kuu yoyote yenye lami Tanzania...
Ninahisi dereva ama wa lori au gari ndogo alikuwa anadance kukwepa vile vishimo shimo na matuta tuta ya ubovu wa lami...
Dereva WA...?! OkayHuyo Thom Mboya ni dereva mzoefu wa jeshi
Tunagombea mashamba ili watoto wabaki na urithi.......
ama unataka tupoteze mali kizembe
Urithi kitu gani?Tunagombea mashamba ili watoto wabaki na urithi.......
ama unataka tupoteze mali kizembe