Ajali yaua ndugu watano wakitoka msibani Mbeya

Ajali yaua ndugu watano wakitoka msibani Mbeya

How tragic. Ni huzuni kuu.

Hapa kuna mtu alikua mwendo kasi na/au mwingine alikua anajaribu kuovertake.

Wapumzike kwa amani.
 
Ajali za aina hii watoto huwa wanapona, sijui kuna siri gani hapo? au ni udogo wa miili yao ndio kinga yao? au ni utukufu wa Mungu na andiko waache wadogo waje kwangu, kwamba anawalinda kwasababu ni kama malaika?

Marehemu wapumzike kwa amani.

Mtoto kafariki
 
Maisha yalivo mafupi,huwa nashangaa sana kuona watu wanagombania wanawake,viwanja,mashamba, etc.
Kitu kikubwa unachopaswa kugombania duniani ni afya njema na furaha baasi,ile ya moyoni unaamka unasalimia watu,unakula, unashiba baasi

Mawazo ya kimaskini haya.

Watu hawagombanii wanatafuta na wakipata hawawezi acha mali zao zipotee kizembe kwa kisingizo watakufa.

Wahindi/miarabu/mizungu inarithishana mali vizazi na vizazi nyie mnabaki kuwa watumwa wao mnaanza kutafuta mchawi nani wakati mnaacha mali zipotee kizembe.
 
Pole Kwa wafiwa.

Kuna kanuni yangu moja huwa ninatumia ndugu na washkaji zangu wananicheka Sana lakini sijawahi kuyumba Wala sitayumba.
Huwa sifanyi safari na family nzima kwenye gari moja hata Kama tunaelekea sehemu moja.

Mathalani naenda Moshi Kutoka Dar mke namuacha Kilimanjaro express na mtoto mmoja, watoto wawili waapanda Kilimanjaro gari nyingine tofauti na ya mama yao na Mimi naondoka na ka baby walker kangu na mshkaji.

Hii ina apply pia kwa ndugu zangu wa Karibu na wameshajua huwa sikubali niko radhi nikupe Nauli au nikuachie gari yangu nipande jingine.
 
Ajali mbaya ya gari leo asubuhi maeneo ya Itewe-Inyala Mbeya imegharimu maisha ya ndugu zetu watano wa familia moja walio kuwa wakitokea msibani Mbeya kurudi Dar es salaam. Waliofariki ni

Thomas Mboya,
Isabella Mboya,
Joyce Mboya,
Magreth Masaka,
Sevelina Mgalla

Ajali hii ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Raum pamoja na Lori kugongana uso kwa uso. Majeruhi ni mtoto wa jina lake ni Erick Mboya.

Walitoka kumzika shangazi yao.
Bwana alitoa na Bwana ametoa Jina lake lihimidiwe[emoji1317][emoji1317][emoji1317]

I know this family we lived neighbors for yearsView attachment 1947533View attachment 1947534View attachment 1947535View attachment 1947537
Dah R.I.P kamanda Mboya
Till we meet again ,tulionana hivi karibuni ,kumbe ilikuwa mara ya mwisho ,ukapiga na picha mzee.
R.I.P wote tena
 
Maisha yalivo mafupi,huwa nashangaa sana kuona watu wanagombania wanawake,viwanja,mashamba, etc.
Kitu kikubwa unachopaswa kugombania duniani ni afya njema na furaha baasi,ile ya moyoni unaamka unasalimia watu,unakula, unashiba baasi
Ni ukweli kabisa japo watu wanajali sana mali ila uzima tu ni baraka tosha toka kwa Mungu!
 
Back
Top Bottom