Ajali ya Moto: Bus la Frester lawaka moto

Inazidi kuchanganya
 

Attachments

  • IMG_0635.jpg
    IMG_0635.jpg
    587.3 KB · Views: 9
Gari ya kampuni ya frester inayotoka kahama inawaka moto muda huu kwenye mizani ya vigwaza!
Nimepigiwa simu na abiria aliyekuwa ndani ya basi hilo muda mfupi uliopita kuwa limewaka moto.

Picha lilianzia Morogoro lilianza kutoa moshi mwingi likasimama kufanyiwa matengenezo.

Wakaguzi pale Msamvi hawakutimiza wajibu wao vyema kwa sababu basi liliondoka Msamvu kwa kusuasua mno.

Ajali nyingi zina historia ya uzembe

Mungu ni mwema hakuna maisha yaliyodhurika
 
Nimepigiwa simu na abiria aliyekuwa ndani ya basi hilo muda mfupi uliopita kuwa limewaka mlto.

Picha lilianzia Morogoro lilianza kutoa moshi mwingi likasimama kufanyiwa matengenezo.

Wakaguzi pale Msamvi hawwkutimiza wajibu wao vyema kwa sababu basi liliondoka Msamvu kwa kusuasua mno.


Ajali nyingi zina historia ya uzembe

Mungu ni mwema hakuna maisha yaliyodhurika

Mungu ni mwema hakuna madhara kwa binadamu, ila unachosema uzembe upo kwa asilimia kubwa sana imagine wakati inaanza kuungua kulikua na magari zaidi ya kumi lakni zikapatikana fire extinguisher mbili tu wengine wote hawana!
 
Mungu ni mwema hakuna madhara kwa binadamu, ila unachosema uzembe upo kwa asilimia kubwa sana imagine wakati inaanza kuungua kulikua na magari zaidi ya kumi lakni zikapatikana fire extinguisher mbili tu wengine wote hawana!
Tanzania yetu tunaishi kwa neema ya Mungu. Hatuna maandalizi wala mipango ya kukabiliana na dharura zinapojitokeza...
 
Ukiangalia vzur huu Moto
Utaona unawaka Sana sehemu za buti/wanakoweka mizigo.

Inanipa picha ya kwamba Huenda moto huo chanzo chake Ni kule kule kwenye buti.

Inanikumbusha pia kwamba mwaka 2019 nilisafiri na Mabasi haya ya frester khm-dar kwa kudandia Basi moja linalotoka bukoba-dar.

Tulipoingia kwny garage zao khm tulikaa MDA mrefu sn pale, gar imepaki jamAa wanaijaza mafuta.

Kusogea nikaona kumbe ndo maana wanatumia MDA mrefu sn maana jamaa wamemodify sehemu ya mizigo na kuongeza RECTANGULAR TANKS ZA MAFUTA 4 ZA ZIADA (MBILI KILA UPANDE) AMBAZO ZIMEUNGANISHWA NA Mabomba flexible ya PLASTIC kutoka tank mpk tank yakiwa yote yameungwa na main TANK ya Basi lenyewe.

Nilipomdadisi jamaa anayejaza mafuta,
Akasema mabasi yote ndo wamemodify hivyo kuondoa usumbufu wa kujaza jaza mafuta kila sehemu.

Na mabasi yote ya kampuni yanakunywa mafuta pale Na haya mafuta wataenda nayo khm mpk dar, Kisha kesho wanarudi nayo mpk bukoba. Halafu likitoka bukoba ndo linarud pale kujaza tn kwendea dar.

Nikabaki na mshangao,
Anyway nikapongeza ubunifu
Ila sikutilia Sana maanani sana,
japo Nilipata mashaka sn Kama mteja kwny buti akipakia mzigo wenye vitu vinavoshika Moto haraka au kusababisha cheche itakuaje

Maana ASILIMIA kubwa ya mizigo ilkua inabananishwa sn kule kwny zile rectangular tanks zilizojazwa mafuta ili kubajeti nafas ya mizgo mingine ya njiani
 
Unaipijisha Tiktaka injini ya youtong week nzima unatarajia nini

Hakuna gari inayowaka moto kwa kukaa barabarani muda mrefu UNLESS ina tatizo kama la ku overheat.

Na ku overheat ni ubovu ambao unaweza kuitokea SCANIA, MERCEDES BENZ, LEYLAND au YUTONG.

Engine za magari zimeundwa na mfumo wa kuhakikisha engine inabaki na jotoridi lile lile hata ingetoka KAHAMA mpaka TRIPOLI na kurudi. Don't dump on the YUTONG, please. It is the singular preeminent workhorse of commercial transportation along the highways and landscape of the country.
 
Kuna uzembe mkubwa sana kwa madereva wa hizi basi,wao kunapotokea fault wanalazimisha safari na mwisho wa siku ndio hivyo basi linawaka moto...
 
Back
Top Bottom