Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
kwa TZ hii kupata idadi ya waliokuwepo kwenye meli ni ndoto na ni vigumu kujua idadi ya waliokufa................Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina.
Awali habari zilipoanza kutoka kuhusu kuzama kwa meli ya mv Spice ilielezwa kuwa zaidi ya watu 2000 wanahofiwa kufa.
Habari zimebadilika mpaka vyombo vya habari vinatangaza watu 163 kufa na zaidi ya 500 kuokolewa.
Kwa wajuzi wa safari za meli na hali ilivyokuwa siku meli ilipoanza safari na kwamba meli yenyewe imezama tena katikati ya bahari zipo kila sababu kuamini kwamba maisha ya watu yamepuuzwa kwa faida za kisiasa.
Ukweli utabaki ni ule wa mwanzo kwamba watu 2000 wanahofiwa kufa. Binafsi nina sababu za kuamini kuwa zaidi ya 1000 watakuwa wamekufa iwapo watakaookolewa watajumlisha idadi ya 2000.
Hii ni Afrika bwana, ambapo roho ya mtu haina thamani. Utapigwa risasi, utafungwa jela, utapata ajali na hata ndugu zako wasitambue... Ipo siku Mungu naye atakuwa upande wetu.Awali habari zilipoanza kutoka kuhusu kuzama kwa meli ya mv Spice ilielezwa kuwa zaidi ya watu 2000 wanahofiwa kufa.
Habari zimebadilika mpaka vyombo vya habari vinatangaza watu 163 kufa na zaidi ya 500 kuokolewa.
Kwa wajuzi wa safari za meli na hali ilivyokuwa siku meli ilipoanza safari na kwamba meli yenyewe imezama tena katikati ya bahari zipo kila sababu kuamini kwamba maisha ya watu yamepuuzwa kwa faida za kisiasa.
Ukweli utabaki ni ule wa mwanzo kwamba watu 2000 wanahofiwa kufa. Binafsi nina sababu za kuamini kuwa zaidi ya 1000 watakuwa wamekufa iwapo watakaookolewa watajumlisha idadi ya 2000.
Mungu awarehemu marehemu?....hao waliozama na meli si watakuwa waliteseka sana.....Mungu awarehemu kwa kweli....
<br />Niliwahi kumuuliza jamaa mmoja anayefanyakazi humo humo kwenye Meli akanambia ni kwasababu ya upepo ambapo mchana unakuwa mlali sana kuliko usiku. Sina hakika na jibu hili lakini! Ila kama ulisoma sea breeze na land breeze unaweza kuwa na jibu linalokaribia ukweli!
Natamani Mungu angekuwa anashuka at the moment pindi mtu hasa kiongozi mkubwa wa cnhi au idara unaudanganya umma,hivi ni kweli waliokolewa hai wanafika idadi hiyo,na je waliokufa ni idadi hiyo tu?kama ni hivyo manifesto iwekwe wazi mbona kama imepotea?na je meli ilikuwa imebeba tani ngapi za mzigo na je capacity ya meli ni kubeba tani ngapi?je Nani alisaini Meli kuondoka bandarini,nani aliifanyia ukaguzi kabla ya kuondoka?Je report za kitaaluma zinasema meli ilikuwa na tatizo gani kwa kipindi japo cha miezi mitatu ya nyuma na je ilipatiwa matengenezo?Je ilituwaamini hawa kwa siku zijazo wananchi na waathirika wote wa majanga makubwa haya tufanyaje?maana ya MV Bukoba,ya Treni pale Nsagali-karibia Dodoma na la MV Spice kutokea inamaana hakukuwa na fundisho lolote kwa matukio ya nyuma na mambo yaliendelea kufanyika kwa mazoea.Tuambie ukweli tujue watanzania wenzetu wangapi wamepoteza maisha,jamani wenzetu mlioko Zanzibar shirikianeni na walioko Pemba mjue ukweli wa ndugu waliofariki,wala msitumie JF kutoa habari zisizo rasimi semeni ukweli tutawaamini kuliko wenzetu wa Chama chetu na mwenzao B.
mi nadhani ni ratiba tu coz kulikuwa na mv mapinduzi, mv maendeleo, mv flying horse, na nyenginezo mbona zilikuwa na nyengine bado zinatembea vizuri tu mchana. mi nadhani kwa kuwa hizi ni meli huwa zinasubiri harakati za mizigo na abiria hivyo huona ni vyema mara nyingi kutumia muda wa usiku kwa safari zao. kuh; "majini hakuna ukweli" kila wakati wazee hao wapo tu. simply ni mambo ya logistics.Hivi kuna sababu yoyote ya kisayansi juu ya hili?? Maana MV BUKOBA ilikuwa alfajiri na hii ya zanzibar nayo ilianza safari usiku, kuna sababu yoyote ya kutembea usiku!!
Katavi taingi juzi nakuambia hii ni Boti (Ferry) sio Meli, anyway hakuna tatizo kufanya safari usiku tena ni vizuri sababu maji yanakuwa yametulia.Hivi kuna sababu yoyote ya kisayansi juu ya hili?? Maana MV BUKOBA ilikuwa alfajiri na hii ya zanzibar nayo ilianza safari usiku, kuna sababu yoyote ya kutembea usiku!!