Ajali ya Meli: Clouds FM na msaada wa maboya

toba mpo wengi kumbe....yani uchangishe watu hela kwenda kumnunulia mtu binafsi vitu ambavyo ni jukum lake kuwa navyo ili apate licence ya biashara, mamlaka ya ushafirishaji iliwapaje leseni wakati hawakuwa na vigezo. ingesound kama ungekua ni usafiri wa serikali lakini sio wa mtu binafsi ambae anauwezo wa kununua meli atashindwaje kununua boya???

Huyo ndiye Ruge aka Mwita25

Hakuna initiative yoyote hapa, unaambiwa meli ni ya mtu binafsi halafu we unajipendekeza kumpelekea maboya kwani ye kakwambia kashindwa kuyanunua? na kama kashindwa anapewaje kibali cha kusafirisha abiria?. Waambia wakachangishe pesa kusaidia wazee wapo wengi tu.

Ni afadhali wao Clouds wanaojipendekeza kwa ajili ya kuokoa maisha ya ndugu zetu kuliko Chadema inayoenda kukinga bakuli CDU halafu hela inapotelea kwenye mifuko ya Mbowe huku chama kikiendelea kudumaa. Niambie Chadema wameshawahi kutoa msaada gani kwenye hii nchi, hata kujenga zahanati moja?

nimewasikia eti wameanza kampeni ya kuchangisha fedha za kununulia maboya ya kwenye meli, hivi ni kweli mmefikiria vizuri kitu mnachoenda kufanya au ndo mnaendeleza lile wimbi la kukurupuka?? je mnajua procedure zinazopitiwa mpaka meli kupewa kibali cha kupakia abiria?? mmehoji kwa nini hiyo meli haikua na maboya ya kutosha na bado ikaendelea kufanya biashara?? au mnaogopa kuwahoji kwa sababu ya kuhofia kukichafua chama chenu?? em jaribuni kukuna kichwa kidogo mmajidhalilisha kwa kweli...

Watanzania tumeshajiaminisha kuwa matatizo yaliumbwa kwetu kila janga linalotokea tunamsingizia Mungu, iko siku na yeye atachoka. Kwa wenzetu yanayotokea huko huwa ni inachukuliwa kama issue serious kwa watu fulani kuawajibishwa. Japan waziri mkuu kajiuzulu pamoja na kwamba tukio lile lilkuwa nje ya uwezo wake ila kaitwa mzembe kwa nini hakuchukua tahadhari, huku kwetu meli ni mbovu, inabeba watu kuzidi uwezo wake, inabeba mizigo kuliko uzito wake wa kawaidai, inasafiri usiku, inapoanza kuzama vyombo vy uokoaji vinafika masaa 5 baadae, halafu tunaishia kupeana pole, kushikana mikono, kuchekeana, serikali kususia misaada ya watu fulani kama njia ya kuwaadabisha kwa kuendesha shughuli fulani wakati wa maafa. Nchi hii!

kijiweni... nadhani wawasaidie wahanga zaidi kuliko kuzipeleka kwa hao hao wanaomiliki meli na boti, kila kiti kinatakiwa kuwa na boya, clouds wana wazo zuri la hela ila mlengwa ndio wamechemsha. Itasababisha meli kuongeza abiria kwa wingi wa maboya.hivi elimu ya kibonde, wasiwasi na mwenzie kayanda ni kidato ngapi labda tuwasaidie mawazo nahisi IQ zao zinalingana na elimu yao.

redio ya......malizia

Hivi wewe unayekaa na kulalama kila siku na yule anaye fanya jitihada hata kusaidia jambo dogo katika jamii bora nan, hapa nchini kuna vivuko vingi tu ambavyo n vya serikal na havina life jacket za kutosha, hivyo vitaongezewa, huoni vitasaidia kwa namna moja au nyengine? Tuache kulalama, kwanza uanze wewe kuelimisha jamii yako iache kupanda vyombo vya usafiri vilivyojaza kupitiliza, utakua umesaidia kupunguza ajali nchini. Kila mmoja wetu katika jamii atumie nafasi yake kusaidia kuepukana na majanga haya. Sio kulalama na kukashifu km wanachofanya hakitosaidia chochote.

kijiweni... nadhani wawasaidie wahanga zaidi kuliko kuzipeleka kwa hao hao wanaomiliki meli na boti, kila kiti kinatakiwa kuwa na boya, clouds wana wazo zuri la hela ila mlengwa ndio wamechemsha. Itasababisha meli kuongeza abiria kwa wingi wa maboya.hivi elimu ya kibonde, wasiwasi na mwenzie kayanda ni kidato ngapi labda tuwasaidie mawazo nahisi IQ zao zinalingana na elimu yao.

acha kuchanganya mambo mkuu, wajibu wa meli kupakiza idadi sahihi ni wa SUMATRA, so hata km maboya yakiwa mawil km hii mamlaka haitafanya kaz kiufanisi, watu watapanda wengi tu, kinachopaswa kufanya ni kila mamlaka itekeleze wajibu wake, abiria wapewe elimu ya usafiri, wamiliki wa meli wajue wajibu wao na mamlaka husika za udhibiti vyombo zifanye kazi zake. Na wala si swala la maboya yakiwa weng abiria watakua wengi.

[ZionTZ] honestly mimi sijawaeelewa kabisa, yani mtu ambae ameweza kununua meli ashindwe kununua maboya????? jamani kuna watu wanajua kujikomba sijawahi ona....haya mambo ya kuingiza siasa kwenye issue za msingi ndo madhara yake. [/QUOTE]

Clouds ni wakuda

acha kuchanganya mambo mkuu, wajibu wa meli kupakiza idadi sahihi ni wa SUMATRA, so hata km maboya yakiwa mawil km hii mamlaka haitafanya kaz kiufanisi, watu watapanda wengi tu, kinachopaswa kufanya ni kila mamlaka itekeleze wajibu wake, abiria wapewe elimu ya usafiri, wamiliki wa meli wajue wajibu wao na mamlaka husika za udhibiti vyombo zifanye kazi zake. Na wala si swala la maboya yakiwa weng abiria watakua wengi.

lakini unajua kwamba znz hawaitambui sumatra kama chombo cha muungano??

Kwa hili wamekurupuka.Vyombo vyote vinavyotoa huduma ya usafiri majini/angani vinakuwa na lifejacket kulingana na idadi ya abiria.Sasa wanataka kusaidia wafanyabiashara wazidishe abiria!.

Hii issue ukiiangalia kwa jicho la tatu huwezi kuwalaumu Clouds au mtu aliyeanzisha hilo jambo. Kwa mimi wanachofanya Clouds ni kama kuwakejeli hao watoa huduma za usafiri wa baharini! Bila shaka lengo lao ni kuonesha kwamba, ikiwa wanafanya biashara na bado wanashindwa kununua maboya kwa ajili ya abiria basi Clouds watafanya hiyo kazi. Kimsingi, Clouds hapo wapo sahihi kwa 100% !!! Kwa baadhi ya waandishi wa habari, kuna staili fulani ya uandishi huwa wanaitumia ambayo kwa mtu wa kawaida anaweza kuzani labda wana-support jambo fulani kumbe kimsingi huwa wanaponda! Sikumbuki jina la aina hiyo ya staili ya uandishi, lakini waandishi wenyewe wanaijua!! nakumbuka humu ndani Mwanakijiji alishawahi kuandika thread( i think kuhusu wachaga) kwa hiyo staili; majority hawakumuelewa na walimponda vibaya sana!!!!

nimewasikia eti wameanza kampeni ya kuchangisha fedha za kununulia maboya ya kwenye meli, hivi ni kweli mmefikiria vizuri kitu mnachoenda kufanya au ndo mnaendeleza lile wimbi la kukurupuka?? Je mnajua procedure zinazopitiwa mpaka meli kupewa kibali cha kupakia abiria??

Mmehoji kwa nini hiyo meli haikua na maboya ya kutosha na bado ikaendelea kufanya biashara?? Au mnaogopa kuwahoji kwa sababu ya kuhofia kukichafua chama chenu?? Embu jaribuni kukuna kichwa kidogo mmajidhalilisha kwa kweli...
akili kama za kuku,mbuzi na clouds fm,
clouds ni wajinga sana

Kwahiyo wewe ulitakaje? Huoni kama wamechukua initiative sasa wewe unataka wahoji chanzo cha ajali kwani wao wamekuwa Polisi?

Duh! Kweli kufikiri kwataka akili, waweza kujituma kufikiri kumbe hauna akili matokeo ukaonekana dhalili kwa wenye akili. Jenga akili ili ujifunze kufikiri hapo ndipo utakapoona raha ukitoa mawazo mbele ya watu mahili, hawatakuona jahili bali watathibitisha umahili wako. Wahitajika kukuza akili ili uweze fikiri fikra sahili.

toba mpo wengi kumbe....yani uchangishe watu hela kwenda kumnunulia mtu binafsi vitu ambavyo ni jukum lake kuwa navyo ili apate licence ya biashara, mamlaka ya ushafirishaji iliwapaje leseni wakati hawakuwa na vigezo. ingesound kama ungekua ni usafiri wa serikali lakini sio wa mtu binafsi ambae anauwezo wa kununua meli atashindwaje kununua boya???
Mkuu usitumia nguvu nyingi kumwelesha mwehu.....

Back
Top Bottom