Ajali ya Meli: Clouds FM na msaada wa maboya

Ajali ya Meli: Clouds FM na msaada wa maboya

Kwahiyo wewe ulitakaje? Huoni kama wamechukua initiative sasa wewe unataka wahoji chanzo cha ajali kwani wao wamekuwa Polisi?
 
Kwa hili wamekurupuka.Vyombo vyote vinavyotoa huduma ya usafiri majini/angani vinakuwa na lifejacket kulingana na idadi ya abiria.Sasa wanataka kusaidia wafanyabiashara wazidishe abiria!.
 
nimewasikia eti wameanza kampeni ya kuchangisha fedha za kununulia maboya ya kwenye meli, hivi ni kweli mmefikiria vizuri kitu mnachoenda kufanya au ndo mnaendeleza lile wimbi la kukurupuka?? je mnajua procedure zinazopitiwa mpaka meli kupewa kibali cha kupakia abiria?? mmehoji kwa nini hiyo meli haikua na maboya ya kutosha na bado ikaendelea kufanya biashara?? au mnaogopa kuwahoji kwa sababu ya kuhofia kukichafua chama chenu?? em jaribuni kukuna kichwa kidogo mmajidhalilisha kwa kweli...

Bila shaka yoyote wazo hilo atakuwa amelitoa KIBONDE maana huwa anapenda kujipendekeza kumbe anakosea. Kaaaaazi kwelikweli CLD FM.
 
Kwahiyo wewe ulitakaje? Huoni kama wamechukua initiative sasa wewe unataka wahoji chanzo cha ajali kwani wao wamekuwa Polisi?

toba mpo wengi kumbe....yani uchangishe watu hela kwenda kumnunulia mtu binafsi vitu ambavyo ni jukum lake kuwa navyo ili apate licence ya biashara, mamlaka ya ushafirishaji iliwapaje leseni wakati hawakuwa na vigezo. ingesound kama ungekua ni usafiri wa serikali lakini sio wa mtu binafsi ambae anauwezo wa kununua meli atashindwaje kununua boya???
 
Hahahahaaa! Unategemea nini kutoka kwa hawa wabeba box veterans?

nawashauri wakawanunulie wafanyakazi wa MM Steel mikocheni, protective gears, viatu, ear plugs, masks na helmet coz wafanyakzi wengi wanapata vilema au kufariki kwasababu ya kukosa vivaa hivyo.

these guys are jokers!
 
Kwahiyo wewe ulitakaje? Huoni kama wamechukua initiative sasa wewe unataka wahoji chanzo cha ajali kwani wao wamekuwa Polisi?

Hakuna initiative yoyote hapa, unaambiwa meli ni ya mtu binafsi halafu we unajipendekeza kumpelekea maboya kwani ye kakwambia kashindwa kuyanunua? na kama kashindwa anapewaje kibali cha kusafirisha abiria?. Waambia wakachangishe pesa kusaidia wazee wapo wengi tu.
 
nyamafu wote wamefulia ..... Life jacket ni jukumu la mwenye kifaa iwe meli au ndege na sheria inasema before safari lazima ukague na pia yana expire date ..sasa hao clouds wananunua ya nini au kujishobodoa ..wase****ng***e sana....nachukia hii tabia ya kuchangisha changisha
 
Ukiona hivyo kuna mzigo mkubwa wa Maboya unasubiri kununuliwa... kule Kenya Klauds ingekuwa yasikika huko wangeshawishi tuchangie Fire extinguisher... Wanakera kweli na Slogan yao... "Usisubiri kufanyiwa kitu na taifa jiulize wewe utalichangia nini???"
 
au mnaogopa kuwahoji kwa sababu ya kuhofia kukichafua chama chenu?? em jaribuni kukuna kichwa kidogo mmajidhalilisha kwa kweli...

Wakati ninyi mnafikiria siasa zenu za kumwagia watu TINDIKALI wengine wanawaza kuokoa maisha, mwaka huu walichangisha zaidi milioni 250 kwa wahanga wa gongolamboto, na kwa hili wana mpango wa kukusanya life jackets zaidi ya elfu kumi na watazisambaza kwenye mahitaji. Nadhani mkiendelea na tabia hizi za kubeza juhudi za kuokoa maisha ya watu ili mtengeneze umaarufu wenu wa kisiasa itakuwa kazi rahisi sana huko mbele kama mlivyoirahisha huko Igunga kwa uroho wenu wa kutoa roho.
 
honestly mimi sijawaeelewa kabisa, yani mtu ambae ameweza kununua meli ashindwe kununua maboya?????
jamani kuna watu wanajua
kujikomba sijawahi ona....haya mambo ya kuingiza siasa kwenye issue za msingi ndo madhara yake.
 
Wakati ninyi mnafikiria siasa zenu za kumwagia watu TINDIKALI wengine wanawaza kuokoa maisha, mwaka huu walichangisha zaidi milioni 250 kwa wahanga wa gongolamboto, na kwa hili wana mpango wa kukusanya life jackets zaidi ya elfu kumi na watazisambaza kwenye mahitaji. Nadhani mkiendelea na tabia hizi za kubeza juhudi za kuokoa maisha ya watu ili mtengeneze umaarufu wenu wa kisiasa itakuwa kazi rahisi sana huko mbele kama mlivyoirahisha huko Igunga kwa uroho wenu wa kutoa roho.

sijakuelewa mkuu, fafanua tafadhali...mimi na nani unatutuhum kwa kumwagia watu tindikali?? kwanza mimi nipo online sasa hivi nitamwagiaje mtu tindikali......kaoge kwanza naona unausingizi....
 
Kwahiyo wewe ulitakaje? Huoni kama wamechukua initiative sasa wewe unataka wahoji chanzo cha ajali kwani wao wamekuwa Polisi?
Wasiishie hapo wanunue na meli mpya maana nasikia iliyozama ilishakuwa chakavu. Tabia ya kutafuta jina kupitia majanga inaelekea kuwa sugu.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
nasubiri wachangishe hela ya kununulia mabasi ya mikoani matairi mapya
kwa kuwa mengi yanauwa kwa matairi
mabovu
:clap2:
 
Wakati ninyi mnafikiria siasa zenu za kumwagia watu TINDIKALI wengine wanawaza kuokoa maisha, mwaka huu walichangisha zaidi milioni 250 kwa wahanga wa gongolamboto, na kwa hili wana mpango wa kukusanya life jackets zaidi ya elfu kumi na watazisambaza kwenye mahitaji. Nadhani mkiendelea na tabia hizi za kubeza juhudi za kuokoa maisha ya watu ili mtengeneze umaarufu wenu wa kisiasa itakuwa kazi rahisi sana huko mbele kama mlivyoirahisha huko Igunga kwa uroho wenu wa kutoa roho.

wale wale wa kutumia masaburi!
 
Hawa clouds ni watu wa kukurupuka sana ,nilishaleta hoja humu mamluki mmoja akasema ''kwenye hivi vyombo vya habari ukishajua kupiga domo elimu haitajiki.''Sasa ndio madhara yake.
Ukichangisha fedha wenye meli wakiyakataa wakisema wanayo kwasababu wao kupokea ni kwamba unawaanika hadharani hawatimiza mashari ya usafirishaji majini.!
Kununua maboya ya kutosha ni jukumu la msafirishaji/mmiliki wa chombo kama kuna uzembe basi mamlaka husika ziwajibike ,sio kuimba ngonjera na mashairi yasiyo na ubeti wala vina kama hawa Clouds Fm.
 
Back
Top Bottom