Ajali ya Meli: Clouds FM na msaada wa maboya

Wasiishie hapo wanunue na meli mpya maana nasikia iliyozama ilishakuwa chakavu. Tabia ya kutafuta jina kupitia majanga inaelekea kuwa sugu.
Bahati mbaya sana kuna watu wanawaamini sana hao viumbe, wakisikia hivyo watachanga tu.
 
Wachangishe pia kwa ajili ya kununua seatbelt za mabasi. Wasipende sifa na kujipendekeza kwa magamba. Mimi I hate clouds kwa tabia zao
 
All those dissin clouds fm happen to know so much about it.. Is it a conspiracy o u r clouds fm fans who "pretend" to hate it while u spend hours listening to them?! Why do u bother?!
 
Wangetoa hata misaada kwa wahanga and in future watoe miuchango ya maboya! Thinking capacity ya mbuzi wa kischana!
 
Back
Top Bottom