<br />
<br />
ebu soma post zangu zote utajua nachoongea! Hakuna nayemsifu hapa, nacho sema kila mmoja ana wajibu wake katika jamii hii kuhakikisha hizi ajali zisizo na kichwa kutokea, ukianzia serikali, wamiliki wa vyombo vya usafiri na mwisho sisi wananchi. Mf. Kuna vivuko vya serikali ambavyo vina upungufu wa life jacket, huoni sis km wananchi tutaweza kusaidia kwa namna moja au nyengine kuongezea idad baada ya kujifunza kutokana na janga hili, kwa hiyo hilo wazo la clouds si la kipumbavu kihivyo, km unavyotaka kuaminisha watu.