Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji kuponywa hatupo salama hata kidogo.

Hapo kuna majeruhi wapo pembeni wametapakaaa Damu wote ni polisi wamegongana na eicher ya Chanika watu hawatoi msaada inawanasema pembeni jamani polisi hayo maumivu ndio waliyokuwa wanapitia ndugu zetu waliopigwa risasi tarehe 29-30.

Endeleeni kuona hili ni jambo la kawaida sio jambo jema wala sio utamaduni wetu, hatua za haraka zichukuliwe kuponya Taifa letu.
Sasa we nae ulikuwa unachukua video au unatania
 
Kila mmoja atavuna kwa wakati wake kile alichopanda
 
CHUKI YA WANANCHI KWA POLISI YAONEKANA TENA, WANANCHI BADO HAWAJAPONA MAJERAHA YAO.
WATANZANIA KUNA AJALI YA GARI LA

POLISI IMETOKEA HAPA UWANJA WA NDEGE DAR. Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji kuponywa hatupo salama hata kidogo.

Hapo kuna majeruhi wapo pembeni wametapakaaa Damu wote ni polisi wamegongana na eicher ya Chanika watu hawatoi msaada inawanasema pembeni jamani polisi hayo maumivu ndio waliyokuwa wanapitia ndugu zetu waliopigwa risasi tarehe 29-30.

CHUKI YA WANANCHI KWA POLISI YAONEKANA TENA, WANANCHI BADO HAWAJAPONA MAJERAHA YAO.
WATANZANIA KUNA AJALI YA GARI LA

POLISI IMETOKEA HAPA UWANJA WA NDEGE DAR. Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji kuponywa hatupo salama hata kidogo.

Hapo kuna majeruhi wapo pembeni wametapakaaa Damu wote ni polisi wamegongana na eicher ya Chanika watu hawatoi msaada inawanasema pembeni jamani polisi hayo maumivu ndio waliyokuwa wanapitia ndugu zetu waliopigwa risasi tarehe 29-30.

View attachment 3518527
Safi sana
 
Utakuwa kaongo wewe, mbona raia kama wanahangaika kuwanusuru!
 
Wale milioni 32 acheni usenge, kimbieni chapu mkaokoe polisi wetu. Au mheshimiwa alipata zero huko Daslamu?
 
Mkuu wangu uje pia na bandiko la kiasi cha chuki ya poli nzi dhidi ya Wananchi
 
Back
Top Bottom