Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,401
- 31,659
Duh!Hao majeruhi wazikwe hivo hivo
Duh!Hao majeruhi wazikwe hivo hivo
HahahahaHao majeruhi wazikwe hivo hivo
Hao wanakesha kukulinda wewe ili ule makande yenu nyumbani kwenuHao majeruhi polisi wawaisheni mochwari mapema!
Wewe mpuuzi ulikuwa unataka kupiga picha tako la huyo dada. Nia yako ilikuwa ovu.Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji kuponywa hatupo salama hata kidogo.
Hapo kuna majeruhi wapo pembeni wametapakaaa Damu wote ni polisi wamegongana na eicher ya Chanika watu hawatoi msaada inawanasema pembeni jamani polisi hayo maumivu ndio waliyokuwa wanapitia ndugu zetu waliopigwa risasi tarehe 29-30.
Endeleeni kuona hili ni jambo la kawaida sio jambo jema wala sio utamaduni wetu, hatua za haraka zichukuliwe kuponya Taifa letu.
Labda wanakesha kulinda familia zenu mapimbi nyieHao wanakesha kukulinda wewe ili ule makande yenu nyumbani kwenu
Bila hao usingepata hata uhuru wa kuandika kama mtu aliyevimbiwa makandeLabda wanakesha kulinda familia zenu mapimbi nyie
wakazwikwe hai nayo hayo mapimbi menzako.
Mfe masikini mbwa nyie.Bila hao usingepata hata uhuru wa kuandika kama mtu aliyevimbiwa makande
Uhuru wa kuandika?Bila hao usingepata hata uhuru wa kuandika kama mtu aliyevimbiwa makande