CHUKI YA WANANCHI KWA POLISI YAONEKANA TENA, WANANCHI BADO HAWAJAPONA MAJERAHA YAO.
WATANZANIA KUNA AJALI YA GARI LA
POLISI IMETOKEA HAPA UWANJA WA NDEGE DAR. Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji kuponywa hatupo salama hata kidogo.
Hapo kuna majeruhi wapo pembeni wametapakaaa Damu wote ni polisi wamegongana na eicher ya Chanika watu hawatoi msaada inawanasema pembeni jamani polisi hayo maumivu ndio waliyokuwa wanapitia ndugu zetu waliopigwa risasi tarehe 29-30.
View attachment 3518527