Ajali ya chopa: Kamanda Kova ameonesha udhaifu

Swali la kijinga sana

Weee kwenye kifo utaweza kupata muda wa kufikiria mwenzako?

Hata unaposafiri na ndege wanasema jisaidie kwanza wewe halafu ndio uwafikirie wengine, ingelipuka unadhani kungekuwa na muda wa kubebana?

Kama huamini ngoja yakukute ndio utajua kuwa ajali sio mchezo na akili yako haiwezi kuwa sawa kwa sababu lazima uchanganyikiwe labda uwe komando...

Eti komando, inamana kupasua mawe akili ndo inakaa sawa!
 
huyu jamaa ukimuangalia vizuri ni kama hayupo vizuri upstairs! sijui ni nani uwa ana mpandisha vyeo hadi kufikia kuwa CP

Hivi alikuwaje askari na malienge yake?!? Alipitaje ulengaji wa shabaha? Hivi kuwa na malienge siyo jambo la kumfanya mtu kukosa sifa ya kuwa askari jeshi?!
 
Swali la kijinga sana

Weee kwenye kifo utaweza kupata muda wa kufikiria mwenzako?

Hata unaposafiri na ndege wanasema jisaidie kwanza wewe halafu ndio uwafikirie wengine, ingelipuka unadhani kungekuwa na muda wa kubebana?

Kama huamini ngoja yakukute ndio utajua kuwa ajali sio mchezo na akili yako haiwezi kuwa sawa kwa sababu lazima uchanganyikiwe labda uwe komando...
Mpwa Ndio nidhamu mliofundishwa huko jeshini? Hapa umechemka
 
Jana katika vyombo vya Habari na magazeti ya leo Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova amenukuliwa ‘akijigamba’ kuwa alikuwa wa kwanza kuruka kutoka katika Helikopita iliyopata ajari.

Ndani ya ndege hiyo alikuwemo Makamo wa Rais Dkt. Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi Dkt, Magufuli na watu wengine.

Napata shida sana kumuelewa Kova. Atawezaje kutoka ndani ya chopa na kumuacha Makamo wa Rais? Watawezaje kutoka kwenye ndege na kumwacha Mkuu wa Mkoa ambaye ndie mwenyekiti wake wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?

Jambo hili analoliona kwake ni ujasiri ni fedheha kwa askari. Ni raia tu (ambaye hajapa mafunzo ya kijeshi) anaweza kufanya hivi na kasha kujisifu kuwa nijasiri.
Sasa ulitaka afe wewe vipi bwana?
 
Swali la kijinga sana

Weee kwenye kifo utaweza kupata muda wa kufikiria mwenzako?

Hata unaposafiri na ndege wanasema jisaidie kwanza wewe halafu ndio uwafikirie wengine, ingelipuka unadhani kungekuwa na muda wa kubebana?

Kama huamini ngoja yakukute ndio utajua kuwa ajali sio mchezo na akili yako haiwezi kuwa sawa kwa sababu lazima uchanganyikiwe labda uwe komando...
Kwa level yake Mkuu Chris yeye alikuwa Boss wa security kwenye hiyo safari, alitakiwa kufikiri kama security incharge wa hiyo safari!!!Kwani alikuwa abiria wa hiyo team tuu??
Hakutakiwa kukimbia kama boya hali akiwa na makamu wa raisi wa nchi, nchi kama Isreal au USA UNAUNDIWA TUME kuverify kwa nini alichomoka bila kutoa comand ya security dlill kuokoa mkuu wako wakati ni jukumum lako kumlinda!!

Kama tu kila kitu kiko sawa!!!!!!!
Watu wanavunja katiba mchana kweupe na hakuna lifanyikalo, yeye kwa nini aweke rehani roho yake!!!??????

Mnavyoambiwa nchi ngumu mnajua ni kama chuma!!!!???????
 
Swali la kijinga sana

Weee kwenye kifo utaweza kupata muda wa kufikiria mwenzako?

Hata unaposafiri na ndege wanasema jisaidie kwanza wewe halafu ndio uwafikirie wengine, ingelipuka unadhani kungekuwa na muda wa kubebana?

Kama huamini ngoja yakukute ndio utajua kuwa ajali sio mchezo na akili yako haiwezi kuwa sawa kwa sababu lazima uchanganyikiwe labda uwe komando...

Mkuu Lukosi, hapa mleta maada sio kwamba anamCondemn Kova, most of us would have done the same, tatizo ni kujisifia kuwa katoka wa kwanza, ingekuwa busara kama angekaa kimya, but kujisifia huko wakati yeye aliapa kuwa shield, kuwalinda raia kwa maisha yake ni bonge la udhaifu na inaonesha ni kiasi gani kakosa busara.
 
Swali la kijinga sana

Weee kwenye kifo utaweza kupata muda wa kufikiria mwenzako?

Hata unaposafiri na ndege wanasema jisaidie kwanza wewe halafu ndio uwafikirie wengine, ingelipuka unadhani kungekuwa na muda wa kubebana?

Kama huamini ngoja yakukute ndio utajua kuwa ajali sio mchezo na akili yako haiwezi kuwa sawa kwa sababu lazima uchanganyikiwe labda uwe komando...

Lukosi bwana hamna hiyo! Huyo ni askari na alikuwa na kiongozi na.2 wa nchi hata kabla hayajatokea hayo ya ajali askari lazima ajiweke tayari kumlinda kiongozi kwa lolote. Sikatai mazingira ya ajali anaweza kula mwendo kwa mshtuko lakini akili ikikaa sawa ( na mara nyingi its matter of seconds) anajirudi na kuangalia usalama wa kiongozi aliye kwenye dhamana yake ya kiulinzi.
Sasa Kova kujisifia kwamba alichapa lapa kwa mwendo wa Filbert Bayi huko ni kujisahau na kutojua majukumu yake na hakupaswa kufanya reference ya tukio hilo kwa sifa. Angenyamaza tuu kibinadamu.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Ndio ujue hapo ndio maaana ukiita polisi umevamiwa na majambazi......wanakawia kuja sababu Uhai....Mfano umeonyeshwa na mmoja wa viongozi wa jeshi la polisi mi nadhani kova asingekuwepo mule badala yake komandoo angetake place ya kova any issue happen anajua cha kufanya
 
Jana katika vyombo vya Habari na magazeti ya leo Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova amenukuliwa ‘akijigamba' kuwa alikuwa wa kwanza kuruka kutoka katika Helikopita iliyopata ajari.

Ndani ya ndege hiyo alikuwemo Makamo wa Rais Dkt. Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi Dkt, Magufuli na watu wengine.

Napata shida sana kumuelewa Kova. Atawezaje kutoka ndani ya chopa na kumuacha Makamo wa Rais? Watawezaje kutoka kwenye ndege na kumwacha Mkuu wa Mkoa ambaye ndie mwenyekiti wake wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?

Jambo hili analoliona kwake ni ujasiri ni fedheha kwa askari. Ni raia tu (ambaye hajapa mafunzo ya kijeshi) anaweza kufanya hivi na kasha kujisifu kuwa nijasiri.
Wewe mwongo ndani ya ndege?
 
Hivi alikuwaje askari na malienge yake?!? Alipitaje ulengaji wa shabaha? Hivi kuwa na malienge siyo jambo la kumfanya mtu kukosa sifa ya kuwa askari jeshi?!

Nasikia anashaba huyo wee achatu. Kama vile kangalia pembeni ila akigusa triger kitu kwenye bull.

Ila mnatakiwa mkumbuke kuwa polisi ni usalama wa raia. Ndio maana jeshi wakipindua amri ya kwanza kutolewa ni kuanzia sasa polisi wote ni raia. Kova hajakosea kaonyesha urai wake.

Hili naomba lichukuliwe kama changamoto kwa wanaondaa mafunzo ya upolisi waangalie suala la kuwajengea moyo wa kujitolea maisha yao, ujasiri na ukakamavu.
 
1: Kova sii bodyguard wa vice presida. Hahusiki na ulinzi binafsi wa makamu.
2: Kova alitoka nje kutoa msaada kwa nje kwan ndani walikuwepo adcs.
3: Hata simba askari katika kundi panapotokea shambulio la ghafla hukimbia kutoka katika eneo walipo wenzie mita chache aweze kumtafuta adui yupo wapi
 
Jeanine awe Wa kwanza kuruka bila kutoa tahadhari kwa boss wake ni kwamba alijua sio nini kitatokea akakimbia .
 
Anavyopenda sifa na kusema uongo, ndivyo anavyoishi. Ukisikia maneno ya Dr.Bilali ya ya Kova utadhani hawakuwa katika chombo kimoja.

Na mimi nilishangaa kuona kauli zao zinatofautiana, Dr. Bilali na Sadick walisema "...(mkia wa) helkopta uligonga ukuta ika anguka..." Kova akataka kutengeneza filamu akasema "...Helkopta illishiwa nguvu ika anguka..."

Mimi nikawaamini wengine nikapuuza maelezo ya Kova, yeye anafikiri kila kitu lazima anogeshe story kwa kuweka maelezo ya uongo.
 
Kova kwa kudanganya nimemvulia kofia.
 
Back
Top Bottom