limbongambonga
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 219
- 47
Ha! Ha! Ha! Karoho kenyewe kamoja ka ngama kakitoka ndio bac hakuna replacement wadhani weye kuna mtu yuataka karoho kake katoke? Yeye mwenyewe Kova ana bodyguard pia.
Ingekuwa busara kukaa kimya na siyo kutafuta sifa za kijinga kwenye vyombo vya habari.Asante kwa kunijibia...
Hivi alikuwaje askari na malienge yake?!? Alipitaje ulengaji wa shabaha? Hivi kuwa na malienge siyo jambo la kumfanya mtu kukosa sifa ya kuwa askari jeshi?!
Hivi ni kitu gani kinawafanya nyie viroba muwe mnakesha humu kutukana watu?Ingekuwa busara kukaa kimya na siyo kutafuta sifa za kijinga kwenye vyombo vya habari.
Ni kweli unaweza usipate muda wa kufikiria wenzako katika kujiokoa, lakini pia inategemea hao wenzako ni kina nani. Mfano unajiokoa bila kumfikiria mwanao, au mkeo, au baba yako, hakika wewe akiri itakuwa ilikuruka kwa wakati huo. Kwa ufupi hoja si kufikiria mwezako, hoja ni matamshi ya Kova ya kwamba alikuwa wa kwanza kutoka, ni hoja ya Kitoto kabisa inayoonyesha hali ya kichwani ya mkuu huyu wa kanda maalumu.
Umeelewa nilichoandika au umekurupuka tu kujibu?.Hivi ni kitu gani kinawafanya nyie viroba muwe mnakesha humu kutukana watu?
Mimi sio chanzo cha matatizo yako, kama una matatizo kamuone dakitari akusaidie...
Mkuu naona unamchambua Ndg yangu Kamanda Suleimani Kova, anajisifia kujiokoa binafsi amesahau kuwa alitakiwa kuwa mtu wa mwisho baada ya kufanya rescure opperation ya wakubwa zake!!! Hao ndio makamanda wetu tulio nao TZ!! Je, unategemea nini kama akiwa na makabwera fulani hivi, Si atakimbia mita bila ya kuangalia nyuma??
Swali la kijinga sana
Weee kwenye kifo utaweza kupata muda wa kufikiria mwenzako?
Hata unaposafiri na ndege wanasema jisaidie kwanza wewe halafu ndio uwafikirie wengine, ingelipuka unadhani kungekuwa na muda wa kubebana?
Kama huamini ngoja yakukute ndio utajua kuwa ajali sio mchezo na akili yako haiwezi kuwa sawa kwa sababu lazima uchanganyikiwe labda uwe komando...