Very creative aisee!... Huu ni ukweli kabisa!... Kova halindi mtu ila yeye binafsi!Sio kukuimbia tu, kama ni ziwani basi Dr Bilali angenyang'anywa boya au kukabwa na Kova kuvaa boya na kujiokoa.
Very creative aisee!... Huu ni ukweli kabisa!... Kova halindi mtu ila yeye binafsi!Sio kukuimbia tu, kama ni ziwani basi Dr Bilali angenyang'anywa boya au kukabwa na Kova kuvaa boya na kujiokoa.
Sasa hapa naona na wewe ni sijui.Wewe mwongo ndani ya ndege?[/QUOTE
Chopa na yenyewe ni ndege.
Kwenye ile clip inasikika sauti ya mtu akiomba aokolewe nikadhani ni Kova....
Jana katika vyombo vya Habari na magazeti ya leo Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova amenukuliwa akijigamba kuwa alikuwa wa kwanza kuruka kutoka katika Helikopita iliyopata ajari.
Ndani ya ndege hiyo alikuwemo Makamo wa Rais Dkt. Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi Dkt, Magufuli na watu wengine.
Napata shida sana kumuelewa Kova. Atawezaje kutoka ndani ya chopa na kumuacha Makamo wa Rais? Watawezaje kutoka kwenye ndege na kumwacha Mkuu wa Mkoa ambaye ndie mwenyekiti wake wa Kamati ya Ulinzi na Usalama?
Jambo hili analoliona kwake ni ujasiri ni fedheha kwa askari. Ni raia tu (ambaye hajapa mafunzo ya kijeshi) anaweza kufanya hivi na kasha kujisifu kuwa nijasiri.
Jambo hili analoliona kwake ni ujasiri ni fedheha kwa askari. Ni raia tu (ambaye hajapa mafunzo ya kijeshi) anaweza kufanya hivi na kasha kujisifu kuwa nijasiri.
Macho kumchuzi
Kwa vigezo vya kuwa askari hiyo inamuondolea sifa,sijui aliupataje huo upolisi?
Maswali mawili kabla ya kumlaumu: was he part of the delegation or security detail?? Mkuu hakuwa na mlinzi wake??
Kipimo cha ubinafsi icho!
Ofisa mmoja wa Usalama wa Marekani (FBI), akiwa na mbwa wakati za ziara ya Obama Tanzania aliingia Makao Makuu ya Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam na kufanya ukaguzi. "Walikwenda moja kwa moja mapokezi wakafanya ukaguzi, kisha wakatoka nje ya jengo na kama hiyo haitoshi, ofisa huyo akiwa na mbwa alikwenda sehemu ya kuegesha magari yenye kesi na yale ya kawaida na kuanza kufanya ukaguzi, baada ya hapo waliondoka," alisema polisi huyo na kuongeza:
"Licha ya mimi kutokuwa na cheo pale, lakini hili la kutukagua na mbwa, ni kama wametudhalilisha... sisi ndiyo tunaaminika kwa usalama, leo hii wanatukagua na mbwa. Tena Kituo Kikuu."