1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,304
Ni lazima awe wa kwanza kutoka ili atake cover kama kuna adui aliitungua hiyo helkopter.
Ukimtoa kiongizi mkubwa kama vice presedent halafu akapigwa chuma nje itabidi askari ajifiche ndani then yeye akapona atajibu nini?
Kova ni askari wa zamani hakuingia jeshini kufuata mshahara tuu.Askari anakua wa mwisho kutoka kama kulikua na mechanical defects kwenye helkopta na taarifa ilishatolewa na rubani.