Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,637
- 29,807
Kwenye zebra crossing hakuna justifications za kutosimama au kupunguza mwendo....Boda Boda wamezidi jamani mpaka kerooo
Kwenye zebra crossing hakuna justifications za kutosimama au kupunguza mwendo....Boda Boda wamezidi jamani mpaka kerooo
Mwrndokas wawe makini mda mwingine
Nyie ndy muwe makini syo mnajipitiapitia kwenye njia zao, acha mfagiliwe tuuu maana hamna adabuMwrndokas wawe makini mda mwingine
Gari pia Ni chombo Cha Moto...nacho kikokotwe?Lisa la boda boda.
Kwenye zebra unatakiwa kukokota chombo chochote Cha Moto si kuendesha.
Kifo mkuu kifo
Kukokota au kusimama?Lisa la boda boda.
Kwenye zebra unatakiwa kukokota chombo chochote Cha Moto si kuendesha.
huwa magari yanakatisha kwenye Zebra?Gari pia Ni chombo Cha Moto...nacho kikokotwe?
Ndiyo utaratibu uliowekwa kuvuka Zebra kwenye njia ya mwendokasi,Kukokota au kusimama?
Chombo cha moto kinakokotwa kama baiskeli?
Unatakiwa kushuka na kukisukuma. Wameweka vibao kabsa kwenye zebra nyingi Sana sana hiyo Barbara ya morogoro.....Kukokota au kusimama?
Chombo cha moto kinakokotwa kama baiskeli?
Kama gari linaweza ku cross zebra. Kokota.Gari pia Ni chombo Cha Moto...nacho kikokotwe?
Mkuu ndivyo ninavyofahamu.Unatakiwa kushuka na kukisukuma. Wameweka vibao kabsa kwenye zebra nyingi Sana sana hiyo Barbara ya morogoro.....
Sawa suka pole sana andaa faini ya 60 elfu kesi imeisha hiyoAjali imetokea muda huu.
Ni katika stand ya mwendokasi Tip Top manzese. Ajali huyo ilihusisha bodaboda na gari ya mwendokasi.
Taarifa kutoka eneo la tukio ni kwamba bodaboda alikatisha kwenye zebra ya mwendokasi akiwa anaendesha ili kuhamia. Gari la mwendokasi likakosa break na kumgonga muhusika.
Chanzo. Mimi mwenyewe