Kwa mara ingine tena bara bara zetu zimeendelea kuwa kimeo na janga la Taifa.
Mhadhiri kijana: SUMA MWAITULO wa Crop Science and Production Department kapoteza maisha yake leo asubuhi.
Alikuwa anaendesha gari akiwa na watoto wake pamoja na mtumishi wa ndani (House girl). Wote waliokuwemo kwenye gari wamefariki.
Barabara zetu kwa kweli ni janga lingine ambalo linatakiwa liingizwe kwenye KATIBA mpya ili kudhibitiwa.
=============
JamiiForums:
Tunasikitika kuwafahamisha wana JF kuwa tumempoteza mwanachama huyu wa JF ambaye amekuwa active member tangu 2009 hadi umauti ulipomkuta.
Tunatoa pole nyingi kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa uliowakuta. Tupo pamoja nanyi katika wakati huu mgumu.
-----------------------------

Nimepokea taarifa kuwa rafiki yangu mwalimu Suma Mwaitulo wa SUA leo akiwa njiani kuelekea dar alipata ajali na kufatiki yeye pamoja na wanae wawili na yaya wao. Habari hii imenisitua sana na hasa nikimfikiria mume wake ndg Jimmy Mwakyami aliyepoteza familia yote mara moja. Kwa kweli inauma sana.
Mungu amtie nguvu ndg Jimmy wakati huu mgumu. AMEN