AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

Hivi Ikulu bado wanatoa pole? Au wameacha kwa sababu ajali zimeshazoeleka?
 
Tunapoteza nguvu kazi ya taifa kila uchao. Mungu atuhurumie na kukomesha umwagaji huu wa damu
 
Duuuh! Mwaka wa uchaguzi huo, matambiko ya Damu za watu....! We need strong prayers to rebuke this devilish thing. Salvator Mundi salva nos. AMEN
 
kwa jibu lako na michango ninayoisoma humu kumbe waliosema tanzania iko juu kwenye ushirikina hawakukosea.....mabasi yanaendeshwa na wavuta bangi wanywa viroba wendawazimu yanapata ajali mnasingizia kafara!!!!nendeni mkafanye matambiko au logeni muwashinde watoa kafara.

Umelazimishwa kuamini mchango au hoja ya mtu? Naona unatoka povu kwa fikra ya mtu binafsi. Usitake kila mtu kuamini kila dereva mvuta bangi. Hata vitabu vitakatifu vinatamka ushirikina iwe wewe......🙂
 
Dah mdogo wangu yuko moshi shulen wanafunga mwez mei yaan nshaumiza kichwa jins atakavyo fika mwanza.
 
Aiseh hii imeshakuwa ishu sasa mimi hata cha kusema sina maana tunasema sana lakini mawazo yetu yanaishia humu humu hayafiki popote wala hayafanyiwi kazi hata kidogo. Hapa natakiwa kusafiri kwenda dar kutokea kanda ya ziwa lakini hofu imetanda mabus hayaaminiki private nazo ndo hvo majanga unaweza kuvamiwa na mabus kilichobaki ni kufanya timing tuu za fastjet kuokoa.maisha. Mwezi hata haujaisha mabus zaid ya 4 yamepata majanga. Duuh
 
Nimepita eneo la tukio, mtu mmoja ndio amefariki papo hapo wengine majeruhi

kumbe wewe umepita tu na kuona ni mtu mmoja wakati mwenzako amefanya juhudi ametuwekea hadi picha na kwa macho yetu tumeona miili ya watu wawili hapo wakiwa wameshafariki. mkuu endelea tu na safari yako na waache walio eneo la tukio watujuze!
 
Nisaidieni hii ni ajali ya leo tar.15/04/'15 au ya jana? Ni ipi taarifa sahihi ya waliopoteza maisha kati ya mmoja na wanane? Sasa hizi bus zisafiri chini ya askari mmoja mmoja wa jwtz na dereva kila akitaka kunywa maji afunguliwe chupa mpya na askari asije weka kiroba.Na awe chini ya usimamizi wake hata akiingia hotelini asijevuta bangi au kubwia madawa ya kulevya hadi mwisho wa safari.Gharama za askari zigharamiwe na tajiri wa gari. Ni pendekezo tu maana naona wapiga kura wanapunguzwa na hizi ajali.

huyo askari wako wa jwtz ndiyo atakuwa navigator?
 
View attachment 243557View attachment 243557

Kama mambo yenyewe ndo haya lazima tutakwisha tu!

umeliona hilo la katikati upande wako wa kulia lenye rangi pinzani na yanga? kama kuna basi nchini tanzania ambalo lina rekodi ya kudedisha wana wa matumla na cheka ( dar moro ) ni hilo na ilifikia kipindi abiria ukilipanda tu ndugu zako wanakuaga kabisa huku wakikuambia je ungependa ukifa ukazikiwe wapi? linaitwa " abdul rudi ".
 
Hapa dawa ni kuacha mashimo barabarani ili mabasi yapunguze mwendo kipande Dar..Moro siku mbili hiviii..
 
Back
Top Bottom